MAMBO YA KUKUSAIDIA KUA KIONGOZI
Kiongozi ni mtu ambae amejifunza na amejua kufikiri na kuamua kwa niaba ya wale anaowaongoza kwa nia ya kuwashawishi waelekee anakoelekea.
Vitabu hivi vitakupa muongozo mzuri kusoma watu ambao waliweza kuwa viongozi katika umri mdogo na wakafanikiwa katika uongozi wao:
2 Wafalme 15: 1-3
2 Wafalme 21:1
2 Wafalme 22:1
2 Wafalme 23:7
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhB-Rhuc_e-iyqSeG-DmCrX7Ry_J1lRS6w2RjsmHl5QpQbkG2mqzfMbI-iGv7X4yh9GDWCY_9hS4WhAqT6phhXTqlqNuDOQ0YlcAQpTYZf3P-Cky4TiFBPyUrlmKYKmWZf7KGCUyMYt22vL/s400-rw/leadership.jpg)
1: Kuwa mwangalifu katika kufuata mawazo ya viongozi waliokutangulia kwasababu si mawazo yote ya viongozi waliokutangulia ni mazuri
2: Usipoteze muda kwenye kusoma! Unaweza kusoma sana lakini usipate ajira...! Hii ni kutokana na soko la ajira lilivyo na ushindani na lenye kuhitaji watu wenye uzoefu wa kazi huku wakiangalia umri!
3: Tembelea watu unaowaongoza/ unaotarajia kuwaongoza mara kwa mara, sikiliza shida zao na uyafanyie kazi kwa kutatua matatizo yao.
Ibrahim Nganico: Mi Sanaa niwe fisadi coz 'In this world if you are not doing what the rest are doing thats a crime'
ReplyDeleteAbisah Abb: likes this.
ReplyDeleteBaraka Jingu: likes this.
ReplyDelete