SINDANO YA MOTO


 

  Kama ni Mtoto wako Ungemjibu nini??

MTOTO: Baba unaweza kutoa gari lako kumpa house girl?
BABA:Gari langu linathamani kubwa sana siwezi kumpa.
MTOTO:Unawezakumpa house girl ATM kadi pamoja na password yako?
BABA: Aaaaah siwezi kumpa kwani anaweza iba fedha zangu zote mie nikawa masikini, fedha zangu zinathamini sana.
MTOTO: Vyenye thamani vyote hautaki kumwachia house girl mbona mimi mnaniacha na house girl KWANI MIMI SINA THAMANI?
KAMA HUYO NI MTOTO WAKO UNGEMJIBU VIPI?

  ::::::::i Need Your Cognitive Answer(s)::::::
A man came back from work and met his wife
making love to another man on their
matrimonial bed, without shouting or beating any
of them he went to the sitting room, switched on
the television and sat quietly listening to news.
A few minutes later, the man got dressed,
came to the sitting room and said to the
husband 'am sorry',
but before he could say any more words, the
husband said 'don't
worry, stuff like this happen', and the man
left, but the wife did not come out of the room.
Tired of watching the television, the husband
switched off the TV, went into the room, met the
wife crying, without saying a word
to her or asking about the incident, he went
straight to bed and slept.
By morning, the husband woke up and saw the
lifeless body of the wife. She committed suicide
while he was sleeping.
The husband was
arrested and sentenced to 20 years
imprisonment for murder.
QUESTION: Who is unfair in this?
1. The Law;
2. The Wife;
3. The Husband; or
4. The Man.

 

Jamani wanaume bakini njia kuu!!! Msichana mmoja nchini Kenya ameripotiwa kutembea na wanaume zaidi ya 300 wakati anajua kabisa ni muathirika wa ukimwi. Msichana huyo aliamua kuchukua uamuzi huo mgumu kama njia ya kulipiza kisasi kwa wanaume baada ya yeye kufanya mapenzi yasiyo salama na mwanaume yaliyopelekea kuambukizwa ukimwi. Mwanafunzi huyu kutoka Karabak University katika jiji la Nakuru  aliamua kufunguka kupitia facebook na kusema “nimesikia watu mkisambaza kashfa. Mimi nina kashfa kubwa zaidi nataka kuisema.” gazeti la daily post nchini Kenya liliripoti. Mwanafunzi huyu aliliambia gazeti la daily post la Kenya kwamba ana miaka 19 tu kwasasa, na alikua ni bikira mpaka siku alipoenda club usiku na watu wa miaka ya juu hapo chuoni kwake. Alipoamka aligundua mmoja wa watu hao alifanya nae mapenzi bila ya yeye kujua sababu alikua amelewa kupita kiasi.


“nilimuuliza kama alitumia kondom, akasema ndio , sema nilivyoenda kuoga niliona shahawa zake ndipo nilipogundua ulikua ni uongo. nilitamani kujiua kwa kuhofia mimba na ukimwi juu”  Alipogundua ameathirika binti huyu alimueleza Javan japokuwa jamaa mwenyewe alimwambia kwamba yupo safi na hajaathirika.“Nilikua nina mawazo mengi sana. Nikanywa pombe kupitiliza , nilifikia hatua nikanunua sumu, uchungu ulikua mkubwa sana.Nitaiambia nini jamii inayonizunguka ? Nimewaangusha wazazi wangu, nikakata tamaa ya kuishi duniani na kutamani kukatisha maisha yangu. Future yangu imeshaharibiwa.nikasema kuna njia mtu inabidi alipe machungu haya.” alilielezea dada huyu.Baada ya ushauri kutoka kwa watu mbalimbali basi msichana huyu alinyanyuka na kuanza maisha mapya . “nilikubaliana na hali niliyokua nayo na kujiwekea nadhiri ya kuwatesa  wanaume watakaojileta mbele yangu ”“Najua mimi ni mtu ninayevutia na wanaume kibao wananifukuzia kushoto , kulia. Nikazika upande wangu mzuri ndipo hapo nilipogeukia upande mbaya. Kusudio langu lilikua kuambukiza ukimwi wanau mengi wengi kadiri inavyowezekana” Mwanafunzi huyu amesema kwamba ameweka list ya wanaume aliowaambukiza ukimwi na ataitoa siku atakayozikwa. “Najua sina cha kufanya tena hapa duniani zaidi ya kusubiri kifo changu lakini kabla sijaenda kaburini wanaume wengi watanielewa”Dada huyu amesema amewaambukiza ukimwi wanaume 324, 156 wakiwa ni wanafunzi wa Kabarak University alipokua anasoma.Waliobaki ni wanaume waliooa, ma-lectures , ma-lawyers , watu maarufu na wanasiasa.  Amesema Kusudio lake ni kuambukiza wanaume 2000 katika nchi za Afrika Mashariki. Gazeti la Kenyan Daily Post liliripoti.“siku haipiti bila kufanya mapenzi. Wakiwa wengi ni watu wanne kwa siku. ” mrembo huyu aliendelea kufunguka.“Hakuna kitu kitakachonizuia mimi kutimiza malengo yangu kwa kuendelea kulala na wanaume.Huwezi kujua inawezekana umeshalala na mimi, au kama sio wewe ni kaka yako , au mme wako , au rafiki yako, au baba yako tayari ameshalala na mimi”“siku yako itafika. wewe mwanaume umeharibu maisha yangu sasa ni wakati na mimi niharibu maisha yako” alimalizia mrembo huyu.Gazeti la Kenyan Daily Post lilisema halitataja jina la msichana huyu japokua waliweka picha zake kutoka kwenye ukurasa wake wa facebook


 DALILI NA TIBA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

Upungufu wa mbegu za kiume uchangiwa na kurithi magonjwa mbalimbali yanayoathiri mirija ya uzazi,  korodani na upungufu wa hormoni ya kiume (testosterone), kuumia kwa korodani, joto na unene kupita kiasi, ukosefu wa lishe asa zenye zinc, selium na vitamin C na D, kuvaa nguo za kubana muda mrefu, uvutaji wa sigara unyaji wa pombe na matumizi ya madawa kupita kiasi, unene kupita kiasi, maambukizi ya zinaa kwa muda mrefu, msongo wa mawazo na athari za mazingira kama sumu na mionzi.

DALILI ZAKE
Kukosa hamu ya kufanya mapenzi
Kushindwa kusimamisha uume.
Kuvimba au kuuma kwa korodani
Kupungua kwa nywele za kiume hasa ndevu, sharubu na nywele za kifuani.
Kukosa mtoto baada ya mwaka mmoja wa kufanya mapenzi bila kinga.
Kuota maziwa kama mwanamke.
TIBA YAKE
Kula LISHE BORA, yenye kiasi kikubwa cha nafaka na matunda.
Punguza msongo wa mawazo.
Epuka uvutaji wa sigara, pombe na madawa kupita kiasi
Punguza kasi ya kufanya mapenzi au kupiga punyeto
Epuka nguo zinazobana na kuweka korodani katika joto kali.
Tatizo likizidi nenda hosipitali kwa uchunguzi na tiba hasa inayohusisha upasuaji, dawa na ushauri. 

Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia…….
Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu. 

 
1. Kupungua kwa hamu ya kufanya mapenzi.
Athari kubwa ya kupiga puri ni kuwa hupunguza kwa kiasi kikubwa hisia za mapenzi za mwanaume na kumfanya awe mtumwa sawa na mtumwa wa pombe.

2. Huathiri mfumo mzima wa kufanya mapenzi na kumfanya apizi haraka sana ( ndani ya dakika 3 tu).

Hii inatokana na kweli kuwa mwili wako unakuwa umeuzoeza kutoa mbegu kwa dakika chache kupitia njia ya kujichua.Tambua kuwa hakuna kitu wanawake wanachukia kama kupizi mapema.

3.Humfanya mwanaume ashindwe kurudia ROUND YA PILI NA KUENDELEA....

Hakuna mwanaume anayeweza kujichua kwa round tatu mfululiza hapo hapo....Kwa kuwa mwili unakuwa umeuzoeza kupiga round moja tu,tena fasta,ndivyo itakavyo kuwa hata ukiwa na mpenzi wako.

Amini au usiamini.Ukweli ni kwaba hutaweza kurudia round kaka!!!...Vinginevyo upewe masaa kadhaa ya kupumzika.

4.Humfanya mwanaume kuwa MTUMWA wa kujichua.

Athari nyingine ya kujichua ni kuwa humfanya mwanaume awe mtumwa.Kama alizoea kupiga puri wakati wa kulala,au asubuhi, au mchana ni lazima afanye hivyo kila siku....Haijalishi yuko wapi.Hata angekuwa na wenzake,ni lazima atakimbilia hata chooni ili mradi afanye hivyo.


5.Humfanya mwanaume ashindwe kabisa kutoa bao.

Hii hutokea kwa mwanaume aliyezoea kupiga puri kwa miaka kadhaa.

Jamani,nafikiri mtakubaliana na mimi kuwa VIDOLE ni tofaut kabisa na Njia ya uzazi wa mwanamke.Kwanza ni vigumu na havina maji maji.Hali hii humfanya mwanaume ashindwe kupizi au kusimamisha, na hilo ni tatizo.

Sasa inapotokea ukafanya mapenzi live baada ya kutoka katika kipindi kirefu cha kupiga puri,mwili hushindwa kuendana na mabadiliko hayo.

6 Ni rahisi kupatwa na maradhi kama KANSA YA KORODANI.Kwa kitaalamu inaitwa PROSTATE CANCER.

Gonjwa hili hushambulia mirija ya chini ya uume na huufanya mkojo kuwa na mrundikano mwingi wa damu.


Tahadhari kwa wanaume wanaowatelekeza watoto wao nchini Kenya.Baadhi tayari wameanza kupata tumbo joto.
Kikundi cha wanaume watatu nchini Kenya kimezindua ukurasa wa Facebook ambao lengo lake ni kuwajibisha wanaume wasiotekeleza majukumu yao ya kuwalea watoto wao.Mtandao huo unaitwa Deadbeat Kenya.
Mtandao huo tayari umepata mashabiki wengi sana huku baadhi ya wale walioaibishwa wekiwemo wanasiasa, wanamuziki na watu mashuhuri.

Kwa nini mwanamume mwenye uwezo amtyelekeze mtoto wake? Baadhi ya wanaume wanalalamika kuwa wanawake ni wajanja kwani wanashika mimba kwa njia za kijanja.
Na je Jackson Njeru mwanamume aliyeanzisha ukurasa huu wa Facebook hahofii maisha yake? Hilo ni moja ya maswali aliyoulizwa na mwandishi wa BBC Dayo Yusuf
  

MADHARA YA KUNYONYANA NA KULAMBANA "NYETI" 

Wahenga washasema kila kizuri kina kasoro zake! Hili linajithibithisha baada ya mitindo hii ya map#nzi inavyoambatana na athari na madhara kedekede yakiwemo maradhi ya kuambukiza na magonjwa ya zinaa kwa wale wenye kuwa nayo! Duuh! Haya basi hii ni orodha ya magonjwa ya zinaa ambayo huambukizwa kupitia kulambana na kunyonyana Sirini:-
1. Gonorrhea
Hili huanzia katika koo la muambukizwaji, na mwanzoni huhisi kama ni ukavu wa kifuu au maradhi ya kawaida ya kifua, ila baadae hushuka na kuelekea katika viungo vya uzazi
2.  Syphilis
Huu huambukizwa kirahisi zaidi kupitia mdoma na hasa pale inapotekea mdomo ukutana na kiungo chenye athari hizo.
 3. Chlamydia 
Huu pia huambukizwa kupitia mdomo, ingawa waathirika wanaweza wasijijue maana huwa hauna dalali kwa muda mrefu 
4.hepatitis A
Huyu ni Virus anayepatikana katika kinyesi cha binadamu, huyu huwaingia wale wanaopenda kunyonyana na kulambana sehemu za haja kubwa
 5.Hepatitis B 
Huu huambukizwa kama HIV vile maana virusi vyake hukaa katika majimaji yanayotoka katika sehemu za siri na damu.
6. Hepatitis C 
Huu hupatikana pindi damu inapotoka maana vijidudu vyake vinakaa katika damu!

Pia kuna hatari za kupata HIV/AIDS kupitia staili hizi japo kwa uchache sana. Kwa sasa nchi za watu wamebuni aina fulani ya C0nd0m ambazo huvaliwa katika mdomo hivyo kupunguza hatari ya kupata madhara tajwa hapo juu! Ila kwa nchi zetu bado sijasikia! Sasa utamu ndo huo na madhara ndo hayo, akili kumkichwa!


 
 NI KAMA STORI  LAKINI KUNA JAMBO LA KUJIFUNZA
Baba mmoja alikua akiosha gari lake jipya, mwanae mdogo wa miaka sita akalichora hilo gari ubavuni kwa kutumia jiwe. Baba alivyomuona mtoto anachora, akakurupuka na kum bana mkono kwa plaiz, ikapelekea vidole vitatu vya yule mtoto kuharibika na kutakiwa kukatwa. Wakiwa hospitali, mtoto akamuangalia baba yake akamuuliza "vitarudi tena?" Baba akaumia sana, akarudi kwenye gari aone mtoto kachora nini; kakuta mtoto kaandika  "Daddy I love you" Kanuni ya maisha ni watu wapendane na vitu vitumiwe; lakini tatizo la walimwengu wa leo, wanapenda vitu kuliko watu.

UKISHUHUDIA MAMBO HAYA basi ujue Mpenzi wako ni wa-KICHINA.
1. Yale mapungufu unayoyaona katka mwili wako ye anakudanganya ndo ameyapenda. Mf. We cha Ufupi, yeye anakwambia 'NAPENDAGA WAFUPI!' au unajijua kabisa una bichwa baya kama langu halafu anakwambia ‘baby me love yo head!!’- wa-KICHINA.
2. Hakupigii simu mpaka um2mie vocha- Wa-kichina huyo.
3. Dume zima kila cku kumpiga mizinga mtoto wakike- mchina feki.
4. Kidume swala tano, wa kike naye mtoto wa mchungaji, mnadanganyana KUOANA. Wote nyie wa-KICHINA. Mwende mkawekewe 'hauzing' mshazeeka.
5. Mpenzi kila akikutana na wewe anataka mfanye ngono- huyu MCHINA tena wa Kamera.
6. Anajifanya ana wivu sana, akiona umeandka ki2 fb ananuna- chukua tahadhari atakulipukia huyo.
7. Mida yake ya kupga simu ni saa 4 usiku hadi 12 asubuhI- huyu Bundi la kichina.
8. Mkiwa chumbani yeye kila unapomgusa anajidai kusisimka..tena bingwa wa kupiga makelele- MCHINA WA TOCHI.
9. Anajidai kupenda maisha ya wazungu..mara akuombe pesa ya kuweka kope za bandia mara makucha kama jini- Huyu naye kuwa naye makini atazima muda wowote.
10. Siku ukiwa na gari unaendesha anajiachia, mikiwa mnagombania daladala anavaa baibui-Screen touch ya kichina huyu!! Muda wowote anazingua.
11. Anajisifia sana mali za wazazi wake ilimradi umwonee yupo juu- Huyu naye mchina sema anapatikana duka moja tu linaitwa facebook.
12. Bingwa wa kujidai anajua sana kiingereza kuliko Kiswahili wakati anachapia kwa sana huyu naye weka Silent mode asije kukuabisha mbele ya rafiki zako.
13. Mtoto wa kike anakulaghai eti ooh!! Ukitumia kondom mi huwa nawashwa…baby pliiz- Shtuka mchina huyu anataka kukuuzia mimba isiyokuwa yako.
14. Wote mnasoma chuo…mnalipiwa na wazazi. Halafu yeye bingwa wa kukueleza shida zake- Muweke kwenye chaji huyu hakawii kuzima ni Mchina.
15. NA YEYOTE YULE ANAYEJIJUA MCHINA. NAYE NI MCHINA TUUU!!

‪#‎HAYA‬ jiulize…UMEKUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA WACHINA WANGAPI HADI SASA!!!
‪#‎Via‬ PENZI LA KICHINA HALIDUMU…labda na wewe ulipeleke kichina china.




 EMUNGU WATIE NGUVU WATOTO HAWA… AMEN YAKO INA NGUVU!


UNAWEZA HISI MUNGU HAKUPENDI, UKALIA, UKAUMIA HASA UNAPO PATWA NA MATATIZO, ILA KUMBE MATATIZO YAKO NI AFADHALI.

NA PENGINE WEWE UMEKUA BINGWA WA KULAUMU KWA NAMNA MUNGU ALIVYO KUUMBA AU UKAMLAUMU MUNGU KWA MATATIZO YANAYOKUANDAMA BILA KUJUA WAPO WATU TENA WENYE UMRI MDOGO WANAOPITA KATIKA MATATIZO MAKUBWA NA BADO WANAMSHUKURU MUNGU.

 HEBU WAONEE HURUMA WATOTO HAWA

 BILA KUPITA PLEASE PRAY TO THEM, HATA SALA YENYE NENO MOJA INA TOSHA.....







KAULI ZINGINE BWANA! EMBU ZISOME MWENYEWE
 Dagaa mboga kuku mbwembwe tuu....
 Silaha pesa bastola mzigo....
 Heshima pesa Shikamoo kelele tuu....

 Upara bila elimu sawa na kovu.....
 Chezea mshahara usichezee kazi....
 Iga kazi usiige matumizi....
 Ukitaka kujua vichochoro kula nauli....
 Ukitaka kumjua mume mwenzio muache mkeo.... 

Mpenzi wako mpya ndiye mpenzi wa zamani wa mwenzako....,
Uzee mwisho Chalinze, Dar kila mtu baby...

Ukitaka kujua usiku mrefu kalale polisi!


CHID BENZ JUKWAANI AKIFUATILIA SHOW YA DIAMOND NA NAY WA MITEGO,WAKIIMBA MUZIKI GANI?



Chid Benz  jukwaani akifuatilia kwa karibu show ya Diamond na Nay wa mitego wakiimba muziki gani



Aaah,hayo matusi bwana,mbona unatutukana??

Baada ya show back stage,wakisalimiana na kupongezana pia, Diamond anamchukulia Chidi kama kaka kwani anamheshimu,mengineyo ni sanaa.........

 



Nani hajawahi kukutana na kauli hizi toka kwa walimu wake?
1. Kama hujisikii kukaa darasani unaweza kutoka
2. Wengine mmekuja hapa kukua tu....
3. Mmekuja hapa kupoteza tu hela za wazazi wenu.
4. Mkimaliza kuongea mniambie nianze kufundisha....
5. Ni kitu gani kinakuchekesha? Njoo hapa mbele utuelezee na sisi tucheke..
6. Kuna watu hata hawajui kwa nini wako hapa...
7. Huko nyumbani baba zenu wanateseka kutafuta ada halafu nyie mnacheza tu hapa...
8. Kama hautaki kuchapwa basi chukua fimbo unichape wewe..
9. Kama unajua sana njoo hapa ufundishe ninachofundisha...
10. Toka nje!!!


 


Hivi unamjua 'wa-kishua' au unakurupuka unajiita wa ki-shua.
# haya tazama tofauti ya mtoto wa kishua na sie wa kawaida.

1. Wakati unahangaika kufuta viatu mavumbi ya jana ili na leo ukivae MWENZAKO anajiuliza kwenye shelv kip avae kip asivae.

2. Wakati unasubiri saa 4 umpgie mpenzi wako muongee kwa uhuru bure MWENZAKO mpenzi wake analalamika kuwa anampgia simu hovyo mchana na akipga hamalizi maongezi.

3. Wakati unapgia mahesabu nauli ulizo2mia leo kwenye daladala MWENZAKO mara ya mwisho kuckia juu ya nauli ni kwenye taarifa ya habari ilipopanda ktoka 250 hadi 300.

4. Kile kisimu chako ndo kinakupa jeuri kuingia facebook MWENZAKO Ipad kwenye kipochi muda wote.

5. Wewe si umebadili matumizi ya simu kuwa ya kupgia picha MWENZAKO anamiliki digital camera kwa shughuli hzo.

6. We endlea kuigeuza cm kuwa kiredio MWENZAKO ana Ipod matata.

7. Wakati unalalamika umemaliziwa chakula MWENZAKO analalamikiwa na 'housegirl' eti amemfunikia chakula halafu hajala.

8. Wewe unajiuliza ni lini utaingia show ya 'Diamond platnum' MWENZAKO anajifikiria zile fainali za BBA south Afrika aende au asiende.

9. Wakati wewe unamlalamikia mkubwa wa nchi eti maisha magumu MWENZAKO hajui hata kama alitoaga milioni kumi msibani.

10. Kuwa 'Udsm' unabadili hadi mwondoko wa kutembea kisa chuo MWENZAKO anagoma kwenda Oxford uingereza kisa atakuwa mbali na familia.

11. Wewe si unawatafuta wasichana kinguvu MWENZAKO wanampapatikia teh teh!

12. Siku ulipopiga picha na yule nani yule, Ommy Dimpoz uliweka fb fastafasta upate sifa MWENZAKO zile picha alizopga na Ramsey Noah wakiwa kwenye mlo wa siku pamoja na marehemu amesahau amesev vp kwenye laptop yake.

13. Siku ukiwa unakula Baga na mapiza ndo unajua kupga picha na kuweka fb MWENZAKO anamlalamikia mama yake kuwa ameyachoka.

14. Ukiwa unapga simu dole gumba makini kwenye ki2fe cha kukatia MWENZAKO akimaliza kuongea anasubiri upande wa pili ndo ukate.

#Huyo ndo mtoto wa kishua sasa yaani mtoto wa uhakika 2pu!! Kila ki2 uhakika.
Weng wao watoto wa mafisadi, halafu huwa wanakuwa mabwege kweli, ukubwani huwa wanaish wa shda sana.


UTAWEZA KAKA/DADA?
JAMANI KUOA SI JAMBO DOGO, UNATAKIWA UWE UMEJIANDAA:
Hivi jamani, mnazijua gharama anazoingia bwana harusi hadi anapooa? Katika hali ya kawaida kabisa, kama wewe ni mwanaume na unataka kuoa, jiandae kwa mambohaya: (hizi ni gharama utakazoingia nje ya michango ya harusi)

1. Kujitambulisha ukweni. Hapo utatakiwa uende kijijini alikozaliwa mkeo mtarajiwa ukajitambulishe huko. Kama mfano mkeo anatokea Mwanza, na mnaishiDar, andaa nauli ya watu wawili, malazi kwa siku mbili, na utagharamia shuhuli hiyo ya utambulisho. We tenga 500,000. Hapo tuna assume mkeo atajitegemea. Otherwise 800,000 itakutoka.

2. Kumtambulisha mkeo kwenu. Kama nyie nyumbani ni Arusha, utatakiwa umpeleke huko Ngarenanyuki. Sio umlete hapo Tabata mlipopanga. Hapo sio kwenu! Andaanauli yako na atakaekusindikiza, nauli ya binti na mwenzie, na gharama za vinywaji na chakula siku hiyo. Utahitaji kama 700,000

3. Kifuatacho ITV ni kuwaalika wakwe zako nyumbani. Uwatoe watu kama nane Mwanza, uwalete Arusha. Wale, walale, wajisaidie, kwa gharama zako. We achaubishi, tenga 800,000 tu.

4. Kwani we wazazi wako wanajua unakooa? Sasa je? Wasafirishe kwenda Mwanza! Watu watano. Utahitaji kuwa na 500,000. Beba pia ATM card yako, kuna imejensi.

5. MAHARI ndio topic inayofuata sasa. Ukiwa mjanja, unganishia kwenye hiyo safari hapo juu uue ndege wawili. Pamoja na hayo, itabidi ubebe 2,000,000.

6. Sasa kijana unaweza kumvisha mchumba wako pete. Nunua ya kawaida kabisa ya dhahabu. 350,000. Tukio lenyewe la kumvisha pete unaweza ita marafiki wawili watatu ukatumia 200,000. Au fanya sherehe kabisa. Mi simo

7. Oke, sasa unaweza kuitisha vikao vya harusi. Tengeneza kadi za mwaliko wa kamati kwa 200,000, kikao cha kwanza gharama zote ni juu yako. Andaa 500,000. Swali la kwanza kwenye kikao: “We una shing ngapi?” Sema 1,000,000.

8. Utahitaji 100,000 ya sms na simu kukumbushia michango. (Shukuru Mungu kuna cheka time)

9. Wakati vikao vinaendelea, utatuma 200,000 kwa m-pesa ili mambo ya kimilayaendelee kule nyumbani. We unaelewa

10. “Darling, sasa mi kwenye kitchen party ntavaa nini?” 300,000!
11. “Darling, kuna mahali nimeona gauni zuri la send…” 400,000!

12. “Baby, rafiki yangu alinunua gauni la harusi China yani lilimpende…..” 700,000!

13. Wakati huo wewe mwenyewe hujajua utavaa nini, hujanunua pete za harusi,hujamvalisha best man na mkewe. Tuseme unahitaji kama 1,500,000 maana utalia lia sana. Kumbuka, gharama hizi huchangiwi na kamati. Wala hutarudishiwa.

14. Siku ya send off lazma uende Mwanza. Utaenda mwenyewe? Ndugu wawili watatu na mshenga 600,000. Kwenye send off utatakiwa kutoa sijui blanketi la bibi,vitenge vya mashangazi, na vikorokoro kibao. Nunua hivyo vitu 300,000 uendenavyo ili kupunguza gharama. Beba 200,000 za wale mashangazi watakaoibuka ghafla!

15. Mshonee baba mkwe suti 100,000 mama mkwe yeye atavaa gauni la 50,000.

16. Fotokopi hiyo hapo juu (namba 15) kwa wazazi wako. 150,000

17. Watu watakaopenda kuvaa sare wajitegemee! Mimi sina hela! Ila utavishonea nguo vile vitoto kwa 80,000.

18. Siku mbili kabla ya harusi, utaanza kupokea wageni. Unatakiwa uwatafutie malazi na chakula. Kwa ujumla utahitaji kama 500,000

19. Jioni watoe auti mashemeji zako ambao hawajawahi kufika Dar ukawanunulie bia ili wakuone wa maana. 200,000

20. Siku ya harusi bibi harusi na mwenzie na watoto na ma maids watatakiwa wakapambwe saluni. 200,000

21. We na mwenzio mtaenda kunyoa hapo kwa nanii. Ndevu na nywele 10,000

22. Siku ya harusi beba sadaka 10,000. Wakati huo umeshamtuma kijana akakulipie hoteli mtakayofikia baada ya harusi. Kamati haitoi hela hiyo, so utalipa malazi ya siku mbili200,000

23. Kama mtaenda honeymoon sehemu yoyote nzuri nzuri nje ya mji, si chini ya 800,000 kwa angalau siku 5.
24. Wakati uko huko honeymoon, huna hata kumi, mwanakamati mmoja ambae hakuchanga anakupigia simu “ Sasa tunavunja lini kamati?” Pesa yote iliyochangwa ilitumika kwenye harusi, sasa gharama za kuvunja kamati ni za nani?? 500,000!

25. SASA MNAANZA MAISHA YA UNYUMBA. TSHS. 14,150,000/= poorer.



Salamu Zangu Kwako
Najua hautamani kusikia lolote kutoka kwangu kwa kuwa sina thamani tena kwako, thamani niliyokuwanayo kabla hujanipatia ujauzito mara mbili zote ukanisihi nitoe. Kwa sababu ninakupenda nilifanya yote unayotaka. Ulipodai kuwa ukitumia kondom hujisikii raha sikuogopa kuibeba mimba ya tatu nilikuambia fanya unavyotaka.
Nilifanya haya nikiamini kuwa nalinda penzi langu kwako!!!
Naumia sana leo unaponiita mkimi Malaya!!! Mjinga tena mshamba!! Hakika hujakosea maana nilikuwa Malaya katika chumba chako, chumba ulichonifanya utakavyo tena kila siku, huku jukumu la kukisafisha ukiniachia mimi, kweli nilikuwa mjinga sana kwa kukulilia hata pale ulipokuwa umenikosea waziwazi na nilikuwa mshamba kwa kuwa ni wewe uliyenifundisha kufanya mapenzi kwa kutumia kila kiungo cha mwili wangu.
Babaa si unajua nilianza uhusiano na wewe maziwa yangu yakiwa wima, mbona leo wanifukuza ukidai kuwa hunitaki kwa kuwa nina maziwa makubwa tena yamelala. Hukumbuki ni wewe uliyeyafanya hivi???
Unaniita mimi mchafu sasa unasahau kuwa ni wewe u mchafu zaidi yangu, au unasahau jinsi ulivyokuwa mchafu kupitiliza, uchafu wako ulitokana tamaa zako za kimwili tamaa zilizokufanya ulitake penzi langu hata nilipokuwa katika siku zangu!!!!! Hukuwa ukiuona uchafu huu ati leo waniita mchafu!!!
Wewe una usafi gani???
Babaa!!! Nakuandikia haya japo utayapuuzia lakini unaujua ukweli kuwa nilikupenda na wala sio kimakosa. Nilifanya yote uliyoyataka lakini hunilipi thamani yangu tena leo hii.
Unazuga kuwa u wa mjini sana!!! Unasahau kuwa ulikuwa unakosa hata pesa ya nauli nikawa nakupatia akiba yangu ya pesa za pedi nilizokuwa nimepewa na mama. Niliacha kulipa ada yangu nikakupatia pesa umnunulie mama yako dawa alipokuwa anaumwa, sijali sana hata kama ulinidanganya lakini nilifanya kwa mapenzi yangu kutoka moyoni.
Hivyo visichana vimekudanganyishia hayo mavazi yao kama viko uchi vile, macho yao ya wiziwizi yamekukamata unanisahau unasema ulipitiwa yaani ulinipenda bahati mbaya. Ulinipenda bahati mbaya???? Wakati ulikuwa unanililia, hivi kumbe machozi yako yalikuwa ya kunilaghai nashukuru umefanikiwa.
Lakini naomba nikwambie kitu kimoja babaangu, ulipoamua kujiingiza katika uhusiano na visichana vyako hivyo nilivumilia lakini siku nilipokufumania na yule rafiki yangu Jane mkifanya ngono makaburini niliumia sana, ni siku hiyo niliamua kujibu maombi ya yule rafiki yako Benard, siku hiyo nililala kwake, nilizini naye kwa hiari kwa lengo la kulipiza kisasi.
Kisasi kile hakikuyatuliza maumivu yangu, bado ulikuwa una nafasi katika moyo wangu!!! Penzi lako halikuwa na mrithi baada ya siku mbili nilipata hamu ya kuwa na wewe nikaja kwako. Tukafanya mapenzi bila hata kukukumbushia juu ya uchafu ulionifanyia.
Nadhani lilikuwa kosa kubwa, kama ninavyokuandikia wewe barua hii usiyoipenda na mimi Benard aliniandikia na yeye aliandikiwa na Jane akadhani ni utani kumbe ni kweli tupu. Jane amethirika, amemwambukiza Bernard, Bernad kaniambukiza mimi halafu MIMI na JANE tumekuambukiza wewe.
Sikupenda iwe hivyo lakini na wewe sikulaumu!!!
Asante kwa kuisoma barua yangu, sina uhakika na maamuzi utakayochukua.
SOURCE (UBUNIFU WETU)

 
 Kama ni wewe Utafanyaje?
Wewe unatarajia kuoa hivi karibuni!upo ktk kikao chako cha harusi,mmepanga bajeti ni 12m!Bwana harusi umeanza ahadi yako kwamba utatoa 3.5m!wanakamati wawili watatu nao wakatoa ahadi zao!Sasa unajua tena haya mambo ya marafiki kuleta watu pengine wasio rafiki zako ktk kikao wachangie kumbe mmoja wa marafiki zako kamleta X-boyfriend wa mchumba wako mtarajiwa.Ikafika zamu ya x wa mtarajiwa wako huku nawe ukiwa unajua jamaa alikuwa anakula mzigo wako,jamaa kwa mbwembwe akauliza so far ahadi ya bw harusi na wanakamati wengine ni sh ngapi?ikaonekana jumla ni 5m!jamaa papo hapo akaahidi kutoa pesa yote iliyobakia yaani 7m yaani mara 2 ya pesa uliyoahidi wewe bwana harusi!kama hataki vile jamaa akatoa cheque book ya kampuni yake ambayo mchumba wako alikuwa akifanya kazi enzi ya mahusiano yake na jamaa hapo awali!Jamaa akaanguka saini akakukabidhi cheque ya 7m! JE UTAIPOKEA? UTAMWAMBIA MCHUMBA WAKO KUWA X WAKE KATOA KIASI HICHO CHA PESA?AU UTAMTOA NDUKI JAMAA?


 A Stranger and A teenage Girl
A teenage girl at boarding school was chatting on face book with a stranger....
Stranger: "Hey pretty girl, could you give your personal email?!"
Girl: "Yes sure...it's   ihaveaboyfriendandilovehimalot@getlost.com
Stranger: "And mine is...Iamyourfather@youdontstudybtchatting.com



Guess, What  will Happen Here
Mike, a driver was taking his boss to the airport, the boss noticed he’d forgotten an important document @ home & went back. @ home his wife was bathing with soap on her face:  the husband tip-toed & touched her boobs, the wife responded,

“Mike, have u dropped my stupid husband so soon? Relax, don't rush, we have the whole weekend 2 spend together”.
She noticed the person was quiet, she washed her face only to see her husband!!!!!!


Ukitaka kujua msichana wa chuo hakutaki tena haya ndiyo majibu yao,,,,,,,,,,

1. Baby tutaongea baadae naingia lecture
2. Jamani honey sikuweza kupokea simu nilikuwa kwenye kelele
3.Sweetie sina credit nikashindwa kukujibu
4.Tupo discussion jamani ntakupigia bdae
5.Simu haikuwa na chaji jamani (HAPO AMEKUZIMIA SIMU) 
6.Nipo na kaka jamani usipige simu
7. Nina presentation kesho hny hatuwezi kuonana
8. Roommate wangu ana mgeni USIJE leo
9. Nipo library dia ntakutafuta baadaye(kwa sauti ya chini)
 


UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...