1. Usimchukie yeyote hata kama kakukosea vipi katika haki zako
2. Usihofie jambo abadan, bali zidisha dua kwa wingi
3. Ishi kikawaida hata kama una uwezo wa juu
4. Tarajia kheri daima hata kama mabalaa yanakuandama
5. Toa kwa wingi kiasi utakachojaaliwa hata kama wewe hupewi au hupati
6. Tabasamu hata kama moyo wako unachuruzika damu
7. Jitahidi kuwa na dhana nzuri kwa watu wote bila kujali tofauti zenu
No comments:
Post a Comment