Maisha ni uchizi; kwani kila siku...
1. Unachotaka hukipati
(MAPENZI)
2. Unachokipata hukifurahii
( NDOA)
3. Kinachokufurahisha hakidumu
(BOY / GIRL FRIEND)
4. Kinachodumu kina kera
(MUME / MKE)
5. Chenye thamani, kina dhalilisha
(FEDHA)
6. Kinachodhalilisha kina pendwa
(ZINAA)
7. Kinacho ogopwa hakina maandalizi
(KIFO)
8.Kinacho andaliwa hakiendelei
(UHAI)
9. Vya kuzingatiwa havizingatiwi
(BIBLIA)
10. Vinavyo fuatwa havina maana
(SIASA)
George Mwakisyala likes this.
ReplyDeleteFrank Mbalani: umeanza kumchukiza mwenyez mungu aliye kupa hayo maisha sasa unayaita chizi dont say that
ReplyDeleteNghonoli P Daud: why do u like using indirect advices,Do u think every person has the ability to extract the hiden meaning? The sms is good but it highly hiden,please try to deliver u're sms in a direct manner.
ReplyDeleteOthmani Yahya: change you ability my Qn
ReplyDeleteAsha Yusuph: na hasa ukichizika
ReplyDelete