mchaga,mpare na mhindi walienda kutoa pesa kwa watu ila waliweka masharti ya kupata hizo hela
Mpare>>mimi nitachora mstari kisha nitarusha pesa juu,zitakazokaa kwenye mstari zenu zitakazotoka nje zangu
- mhindi>>mimi nitachora duara kisha nitarusha pesa juu zitakazoingia kwenye duara zenu zitakazotoka nje zangu
mchaga>>mimi nitarusha pesa juu zitakazobaki juu zenu zitakazoshuka chini zangu!
Chagga security...
|
Heeeee we Josephine wewe! Una vituko sana... Hihihihihihi...
ReplyDelete