18 February, 2012

IRINGA MAFINGA YATENGENEZA HISTORIA MPYA

Tulizoea kusikia kutanda kwa barafu katika Bara la Ulaya, lakini kwa mara ya kwanza hii imetokea leo baada ya mvua kunyesha majira ya saa sita na kusababisha kuanguka kwa barafu iliyotanda kando kando ya barabara huko Mafinga Iringa hivyo kuifanya Mafinga kutengeneza Historia mpya

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...