02 May, 2012

Matokeo ya Mitihani yaKidato cha Sita 2012 Sekondari 10 Bora

Sekondari 10 Bora

1. Marian (wasichana) – Pwani
2. Feza (wavulana)      – Dar es Salaam
3. Kisimiri                   – Arusha
4. Kibaha                     – Pwani
5. Ilboru                       – Arusha
6. Mzumbe                   – Morogoro
7. Msalato                         – Dodoma
8. Tabora (wavulana)         – Tabora
9. St. Mary’s Mazinde Juu – Tanga
10. Consolata Seminari      – Iringa
 Wanafunzi 5 bora Sayansi
1. Faith Assenga  – Marian
2. Zawadi Mdoe  – Feza
3. Belnadino Mgimba  – Minaki
4. Jamal Juma  – Feza
5.Imaculate Mosha  – Marian

Wanafunzi 5 bora biashara
1. Alex Isdor -Kibaha
2. Ephraim Tumwidike – St Joseph’s Cathedral
3. Vaileth Mussa -Weruweru
4. Seleman Manyiwa -Kibaha
5. Hussein Issa – Azania
5 bora Lugha na Sayansi ya Jamii

1. Faridi Abdalla – Mpwapwa
2. Jema Rwihura – Weruweru
3. Mariam Hincha – Weruweru
4. Neema Mbandwa – Igawilo
5. Hemed Hussein – Tosamaganga

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...