05 July, 2012

Maria Nyerere akabidhiwa filamu ya Mwalimu Nyerere


Mwigizaji wa filamu nchini Stive Nyerere amesema kidogo anahisi faraja  baada ya kukamilisha lengo lake la kumkabidhi mama Maria Nyerere, zawadi ya Filamu ya Mwalimu Nyerere ambayo aliifanyia nyumbani kwa mwalimu Butiama. Stive anasema kufanya hivyo ni katika kumshukuru kwa msaada wake ambao alimuonyesha na kumsaidia ili kuweza kukamilisha filamu hiyo. zawadi hiyo alikabidhi nyumbani kwake Msasani siku ya jana.
Wasanii wa Bongo Movie wakijiandaa kwenda Msasani kwa Mama Maria Nyerere










 





No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...