
Piki piki moja watu watatu on SPOT jijini Dar es Salaam (mwanamke mmoja, wanaume wawili)
Kila tukiambiwa tukate Comprehensive Insurance, hatuki! Ona sasa!
Japo watu wanasema Mungu akikupangia kufa unakufa tu hata tukizilaumu hizoi boda boda...kwani Mafisango, Sokoine, Saitoti hawakufa kwa ajali ya boda boda!
Wapo wanaochukulia habari hii negatively hususan kwa hii picha. Ndio hao wasiotaka kujifunza kutokana na makosa ya wengine, na pia ndio rough riders on the road. Hili ni fundisho tosha, ingekuwa amri yangu bodaboda ningezipiga marufuku kabisa nchi hii.
Comprehensive Insurance
ni pamoja na SAFE RIDE na abide to rules and regulation. Wote hawakuwa na
Helmet (kofia ngumu), kilichowakuta, huyu aliyesagika kichwa,
alikanyagwa na tairi la gari baaada ya kuwa wameanguka!! Chukue tahadhari, yasije kukuta haya! Sisi kazi yetu itakuwa
kusema "POLE" "RIP" "INASIKITISHA" "JAMAANI" na mengine kama hayo!
Najua
ni picha mbaya lakini imenilazimu kuiweka ili muwe na tahadhali!!!!
Jamani pikipiki nichombo cha
usafiri chenye uharaka lakini usipokua mwangalifu matokeo yake ndio haya; ndugu,
jamaa na marafiki zetu wanapoteza uhai na kupata ulemavu wa maisha kwasababu ya uendeshaji holela, upakiaji wa abiria wengi katika pikipiki moja (mishkaki), dereva kuendesha akiwa amelewa na sababu nyingine nyingi zinazo fanana na hizo..
No comments:
Post a Comment