04 November, 2012

Brigita Alfred



Miss Sinza 2012, Brigita Alfred (katikati) na baadaye akaenda Kanda ya Kinondoni hatimaye amenyakua taji la Miss Tanzania mwaka 2012 katika fainali za Redd’s Miss Tanzania zilizofanyika katika ukumbi wa Ubungo Novemba 3.
Pichani ni kwenye fainali za Miss Sinza, akiwa na washindi wenzake, mshindi wa pili Judith Sangu (kushoto) na wa tatu Esther Mussa, baada ya kutangazwa washindi kwenye Miss Sinza.
Kwa sasa BRIGITA NDIYE MISS TANZANIA!
Ameondoka na zawadi ya gari aina ya Noah na milioni nane fedha za kitanzania!

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...