26 October, 2013

HUYU NDIE JOJO THE FIGHTER MWENYE VIPAJI LUKUKI

JoJo The Fighter, mmiliki wa blogu hii ameamua ku share vipaji alivyonavyo na fans wake pamoja na wasomaji wa blogu hii....
Miongoni mwa vipaji alivyoshushiwa JoJo ni pamoja na utunzi wa kazi za sanaa zikiwemo nyimbo, filamu na tamthilia....wimbo huu umetumika pia kama main sound track katika movie ya TAMEKA
Vilevile JoJo ni mwanamuziki, msanii wa filamu & tamthilia!
Kama hiyo haitoshi, JoJo ni mwana habari na mjasiriamali!
Wimbo huu wa Nskize umetungwa na kuimbwa na JoJo The Fighter mwenyewe... Enjoy the video 

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...