Wema Isaac Sepetu ‘Madam’
WEMA Isaac Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa kamwe hatasahau jina la
Miss World ambalo marehemu baba yake, mzee Isaac Abraham Sepetu alikuwa
akimuita.
Akizungumza na mwanahabari wetu wakati wa kuaga mwili wa baba yake
nyumbani kwao, Sinza-Mori jijini Dar, Jumanne iliyopita, Wema alisema
baba yake alikuwa akimuita jina hilo kama utani kutokana na masuala ya
urembo aliyokuwa akiyafanya hivyo alipofariki dunia jina hilo ndiyo
kumbukumbu yake ya muhimu.
Marehemu Isaac Abraham Sepetu.
“Sitalisahau jina la Miss World, baba ndiye alikuwa akiniita hivyo
kila nilipokutana naye. Aliponiita hivyo nilikuwa nikifurahi sana,”
alisema Madam.
Mwili wa baba Wema ulisafirishwa Jumatano (jana) kuelekea visiwani Zanzibar
Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...

-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Baada ya miaka 13 ya kuwapo katika fani ya sanaa ya maigizo, hakuna shaka kwamba, Ste...
No comments:
Post a Comment