Hii ndio jeuri ya pesa waliyoionyesha P-Square kwa sasa.
Hakuna
ubishi kuwa, kwa hiki walichokifanya, na kama macho yetu
hayatudanganyi, mapacha hawa wamefanya kufuru. Kama
hii inayoonekana ni dhahabu kweli, basi P-Square, hela wanayo.
Peter ameshare picha hizi nne ambazo
wiki hii zitakuwa gumzo barani Afrika ambapo kwenye picha moja
inayomuonesha pacha mwezie Paul akiwa amesimama kwenye sebule mpya
inayoaminika kuwa ya nyumba yao mpya, ameandika ‘Goldenworld #blessed.’
Kwenye picha nyingine, wanaoonekana
wakiwa pamoja kwenye sebule hiyo iliyotawaliwa na kile kinachoonekana
kama dhahabu zilizozunguka sofa za kuvutia na Peter ameandika: #2kings……
Work hard,play harder.’
Picha nyingine inamuonesha Peter akiwa
peke yake kwenye meza ya chakula, kubwa, iliyojaa vyombo vya thamani vya
kuvutia na ameandika: A king in my own world…. #Blessed.”
Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...

-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Baada ya miaka 13 ya kuwapo katika fani ya sanaa ya maigizo, hakuna shaka kwamba, Ste...
No comments:
Post a Comment