14 January, 2014

HIVI NI NANI ALIYELETA SOMO LA HESABU!

Hesabuuuu ni nzuri sana weee...x2
Mwalimu nifundishe, niweze kuelewa... Eeee mwalimu, Eeee  mwalimu nifundishe!!
Na wewe ulisha wahi kuimba wimbo huu ukiwa shuleni??!

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...