AKIZUNGUMZA
kipindi cha hapa na pale saa kumi na mbili ITV kamanda ameeleza yafuatayo:
"Bwana YONA alikuwa anakunywa pombe Temeke ndipo walipokuja watu sita wakijitabulisha kuwa wao ni maafisa wa polisi lakini bwana Yona akasema sawa lakini mbona huyu mmja ni mwanachama mwenzangu wa CHADEMA tunafanya naye kazi? Kusikia vile wakamvamia kumfunika usoni na kumpakia kwenye gari na baadaye kukutwa ametupwa maeneo ya Ununio akiwa amejeruhiwa vibaya"
JM VIEWS
CHADEMA mnaiandama polisi kwa kuwatesa watu je vongozi ngazi za juu mbona hamjakanusha haya maelezo ya Yona, ili ionekane ni mwanachama na si chama kinahusika na utekaji huu.
TAMKO LA CHADEMA:
CHADEMA yatoa maelezo kuumizwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Temeke, Josephat Yona Patrick

Credit “JM”
No comments:
Post a Comment