MSANII mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo, Ahmed Ollotu ‘Mzee Chilo’
amewatolea uvivu wasanii wasiopenda kushirikiana na wenzao katika
matatizo na kuwaonya kuwa tabia hiyo si nzuri kwani ipo siku itawaponza.

Msanii huyo anasema hakuna binadamu anayejua hatima ya maisha yake hapa
duniani, hivyo ni vyema kuishi katika mwenendo ulio mzuri, kwani watu
wote ni udongo na mavumbini watarejea.
No comments:
Post a Comment