21 March, 2014

NAFASI ZA AJIRA YA MADEREVA WA KIKE NCHINI DUBAI


Kampuni ya Bravo Job Centre Agency ya Jijini Dar-es Salaam, yenye makao yake Keko Bora Temeke. Inatangaza nafasi za ajira ya Madereva wa Kike

SIFA ZA MUOMBAJI
1.  Awe raia (mwanamke) wa Tanzania
2.  Awe na akili timamu.
3.  Awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea
4.  Ajue kuongea  kiingereza  au kiarabu
5.  Asiwe ameshiriki kwenye makosa yeyote ya jinai siku za nyuma
6.  Awe na umri wa kuanzia miaka 20 hadi 35
7.  Awe amepitia mafunzo ya  Udereva kwenye  chuo cha udereva kinachotambuliwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
8.  Awe na ezoefu wa kazi ya udereva kwa muda wa miaka miwili (02) na kuendelea.
9.  Awe na hati ya kusafiria (Passport)


Kwa maelezo zaidi  wasiliana nasi;
Barua pepe: bravojobc@yahoo.com
Skype:        bravojobc
+255713260203
+255714318681


 


No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...