Mara
baada ya mbunge mmoja kusimama na kumuomba Mwenyekiti wa Bunge Pandu
Ameir Kificho awatake watendaji wake wagawe vikaratasi vya kura ili
ipigwe kura ya siri wachaguwe aidha siri au wazi na kuondokana na kanuni
hizo zilizodumumu takriban siku kadhaa bila ya kupatiwa ufumbuzi na
wajumbe wengi kuunga mkono.
Mh Ole Sendeka ameonyeshwa na kamera za bungeni akiwa amebeba mafail yake na kutoka nje ya ukumbi wa bunge huku akifuta futa machozi.
Mh Ole Sendeka ameonyeshwa na kamera za bungeni akiwa amebeba mafail yake na kutoka nje ya ukumbi wa bunge huku akifuta futa machozi.
No comments:
Post a Comment