Mbunge wa CCM Samwel John Sitta
SAMUEL SITTA NDIYE MWENYEKITI WA KUDUMU BUNGE LA KATIBA
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wamemchagua rasmi Samuel John Sitta kuwa Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge hilo kwa ushindi wa kura 487 ambapo mgombea mwenzie Hashim Rungwe alipata kura 69.
Jumla ya kura zilizopigwa zilikuwa 563 ambapo kura 7 ziliharibika.

No comments:
Post a Comment