18 April, 2014

BAADA YA TRAFIKI FEKI KUKAMATWA HUYU NDO MWANAJESHI FEKI ALIYEKAMATWA TENA. SOMA HAPA

Screen Shot 2014-04-18 at 3.20.16 PMIliwahi kutokea Tabata Dar es salaam kukamatwa kwa askari feki wa usalama barabarani ambae ni mzee aliyekua anavalia sare na madereva walikua wanajua kuwa ni askari. Faini na rushwa akawa anazilamba kama kawaida.



Screen Shot 2014-04-18 at 3.05.12 PMHuyu jamaa mwenye umri wa miaka 23 alikamatwa wakati akiwa anasafiri, anaitwa Robert Mutuku na anakiri alipata hizi jezi za jeshi kutoka kwa rafiki yake ambae alikua anamtafutia kibarua jeshini.
Akiwa tayari anashikiliwa na polisi, Mutuku ambae pia alikua na kitambulisho feki cha jeshi amekaririwa akisema ‘ni kazi nilikua naitaka ndio maana niliomba hizi nguo kwa sababu naipenda hii kazi’
Screen Shot 2014-04-18 at 3.19.52 PM





No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...