25 April, 2014

HALIMA KIMWANA ACHORA TATOO YA DIAMOND MKONONI MWAKE

Halima kimwana na tatoo ya Diamond 

Wakati mwingine mtu akikujali  ili kumkumbuka zaidi unachora tatoo katika mwili wake nadhani sasa hivi hii ndio habari ya town, zamani tulikuwa tunanunua zawadi mfano nguo aivae kila siku awe anakukumbuka ama perfume akijipulizia ajue fulani ndio kaniletea ila kwa sasa mahaba  ya ma BFF kaka na dada bf/gf ni tatoo

Haya dada yetu Halima Kimwana aonyesha mahaba ya dhati kwa kaka yake Diamond (Chibu Dangote) kwa kuchora tatoo katika mkono wake ya Diamond!! Ni shiddaaaaa.... Ni kwikwi!!

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...