13 April, 2014

KAMA WAJUMBE WENYEWE WA KATIBA WAPO HIVI, BASI KAZI IPO!!

Licha ya vijembe vya kisiasa na makundi ndani ya bunge la katiba hata haya yamo cheki picha hii
Ni kama anasema "Mzee hebu weka pozi moja kali hapo nikufotoe picha kali ya kuweka Facebook , Hapo hapo Kaka...." Hahaha Makubwa kwa hali hii kazi ipo.
Ninooooma kazi kweli akiamka hapo kila kitu ndiyooooo....

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...