Mwanasayansi kutoka nchini Japan, amegundua miwani ambayo ikivaliwa, mvaaji akimtazama mtu usoni ana uwezo wa kujua mhusika
anachofikiria.
Inasemekana miwani hiyo inatoa taarifa sahihi kabisa. Mara nyingi tumekuwa tukikerwa na tabia ya wanasiasa wengi kutufanyia unafiki na ulaghai kwa kuongea wasiyomaanisha.
Kwa mujibu wa tv1 habari, gharama za uzalishaji wa miwani hiyo ni dola 290 za kiamerika. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, miwani hiyo itaanza kuzalishwa kwa wingi hivi karibuni!!!
Bila shaka hii ni habari njema sana kwa wazalendo wote na habari mbaya kwa walaghai wote.
No comments:
Post a Comment