22 April, 2014

RIHANNA AJIUNGA NA MAMILIONI YA WATU DUNIANI KUSHEREHEKEA SIKU MAALUM YA BANGI.

Rihanna hajawahi kuficha mapenzi yake kwa mmea wa bangi na hivyo halikuwa jambo gumu kujiunga na mamilioni ya wavutaji wengine duniani kwenye siku maalum ya bangi April 20. Siku hiyo kila mwaka imetengwa na wavutaji wa bangi kuonesha mapenzi yao kwa mmea huo.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...