13 April, 2014

WANASEMA HUYU BINTI WA RAIS KAGAME NI MMOJA WA WATOTO WAREMBO ZAIDI WA MARAIS AFRIKA


Anaitwa Ange Kagame, ni mtoto wa pili na wa kike pekee wa Rais wa 6 wa Rwanda Paul Kagame, mama yake anaitwa Jeannette Nyiramongi na ndiye first lady wa Rwanda.

Ange hajalelewa nchini Rwanda, ameishi maisha yake yote nje ya nchi. Wanafunzi waliosoma naye wanasema binti huyu anajituma sana kwenye masomo na kusaidia watu na muda mwingi hutumia kufuatilia mambo yanayoendelea nyumbani kwao Rwanda.

Kwa sasa Ange amerudi Rwanda na anafanya kazi nyingi za kujitolea kwa jamii kama kupanda miti, kampeni za kupiga vita magonjwa nguli Rwanda na kuendesha makundi ya kukomboa wanawake kutoka kwenye umasikini.

k 1 k 4 k 5


No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...