![]()
Askari wa jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) akimwadhibu kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, kwa kumpigisha mbizi kwenye dimbwi la maji ya barabarani baada ya kukutwa akiwa ametinga sare za Jeshi la Wananchi huku akipiga misele mitaani wakati akitambua kuwa yeye si askari ni raia wa kawaida. Kijana huyo alikutana na adhabu hiyo kali kutoka kwa mjeda huyo baada ya kumbaini kuwa si askari halisi ya jeshi la Tanzania wakati alipokamatwa na kushindwa kutoa maelezo ya kuridhisha kuhusiana na swala zima la kijeshi, na hapo ndipo alipoanza kuamuliwa kuvua mavazi hayo na kisha kuaza kutumikia adhabu hiyo.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam.![]()
Kijana akiendelea kutumikia adhabu ya kupiga mbizi
Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
17 October, 2014
APIGISHWA MBIZI KWENYE DIMBWILA MAJI YA BARABARANI KWA KUKUTWA KATINGA SARE ZA JESHI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...
-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Baada ya miaka 13 ya kuwapo katika fani ya sanaa ya maigizo, hakuna shaka kwamba, Ste...


No comments:
Post a Comment