18 October, 2014

KIGOMA: MMEA AMBAO NI SIRI YA WANAUME!!

Waswahili husema mtu hasahau asili.
Barani Afrika kuna mimea mbalimbali ambayo bado inatumika kwa ajili ya matibabu, licha ya mingine mingi kutumika kama chakula.
Hivi karibuni, mwandishi wa habari hii alikuwa mkoani Kigoma. Katika pita pita yake alikutana na mmea ambao awali, kwa kuutazama alidhania ni mbuyu.
Hata hivyo, alipozungumza na wenyeji wa eneo hilo linalojulikana kama Kabwe, akaelezwa mmea huo unaitwa Mlemela. 
Mkazi wa Kigoma, Birangwa Musa  alimueleza kuwa mmea huo unatumika kwa matibabu hasa kwa wanaume. Na matumizi yake ni kuongeza uume!
Out of media player. Press enter to return or tab to continue.

Kigoma:Mmea 

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...