
TARIME
WANAFUNZI wawili wa shule za msingi za Nyabisara (Murito) na Kerende Kata ya Kemambo wilayani Tarime, Mara wameumwa hadi kuondolewa nyama zao za miguu na mamba walipokwenda kuoga maji ya mto kwa nyakatitofauti.
Penina Joseph Mangure akiwa na jeraha mguuni alilojeruhiwa na Mamba.
No comments:
Post a Comment