21 October, 2014

WERRRAWERRRRAAAAA....KIVULI CHAMUUMBUA MDADA ALIYEFANYIA PICHA YAKE PHOTOSHOP ILI AWE NA MAHIPS MAKUBWA!!!

Mbio za kina dada wengi wa kileo kupenda muonekano wa mahips na makaliomakubwa zimeshika kasi huku wengine wakipiga picha, wanazifanyia utundu katika photoshop ili waonekane warembo zaidi aidha kwa kujiongeza makalio au mahips kisha kuzituma facebook,instagram ili kuvutia mashabiki wao. Muone binti huyu alichokifanya! Kivuli chake kinamuonyesha mwembamba sana, pia kasahau kumtengeneza huyo mtoto hapo pembeni, mpaka miguu yake imepinda kutokanana na ukubwa wa hips... Mweh! Kama huja jaliwa shape kama za kina JoJoTheFighter usilazimishe.....Hehehehehehehe. Jikubali Mungu alivyo kuumba. Message delivered!!.... 














No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...