27 April, 2015

WEMA ATOA SABABU YA KUTAKA MTOTO WA KIUME

Wema Atoa Sababu ya Yeye Kutaka Mtoto wa Kiume!
Kupitia ukurasa wake mtandaoni Wema Sepetu ambae hivi karibuni aliweka wazi tatizo lake la kutoweza kushika ujauzito, jana usiku ameibua tena hisia za mashabiki wake baada ya kuweka picha akiwa na mtoto wakike,Sasha aliedai kuwa huyo ndiye kipenzi chake cha maisha na kusisitiza kuwa hiyo ndio sababu ya yeye kutaka mtoto wakiume kwani tayari anaye mtoto wa kike.

“Day well spent.... With the Love of my Life.... Reason y I want a baby boy.... Cause I already have my girl... Love her too much.... My flesh and blood....” –Wema aliandika hayo mara baada ya kuweke picha hiyo hapo juu.

Kitendo ambacho wengi walikiona bado lile tatizo lake la kutokuwa na uwezo wa kushika mimba linamsumbua kisaikologia mwanadada huyu na hivyo wengi walimpa moyo na kumshauri aendelee kutafuta wa taalamu zaidi na Mungu atamsaidia.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...