26 May, 2015

GWAJIMA, FLORA MBASHA WAIBUKIA MKUTANO WA CHADEMA KAWE!


MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, na mwibaji nguli wa muziki wa Injili Flora Mbasha, Jana alasiri Mei 24, waliibukia kwenye mkutano wa hadhara wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Wakati Gwajima alihutubia, Mbasha alitumbuiza kwenye mkutano huo uliokuwa wa kuzindua kitabu cha Mbunge wa jimbo la Kawe (CHADEMA), Flora Mbasha chenye kichwa cha habari "Utekelezaji wa ahadi za mbunge 2011-2015".
Mgeni rasmi kwenye mkutano huo alikuwa ni mwenyekiti wa taifa wa chama hicho Freeman Mbowe
Mbunge wa Kawe akiongozana na Mchungaji Gwajima




LIVE FROM TANZANIA

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...