STAA wa filamu Bongo, Kajala Masanja, kupitia akaunti yake ya Instagram
hivi punde amesema maisha yanaendelea ikiwa ni siku mbili baada ya
kupigwa chupa na mtu asiyemfahamu usiku wa kuamkia Jumatatu akiwa klabu
wakati alipokwenda katika shoo ya kumchangia mke wa Mabeste, Maisha Club
Kajala alieleza kuwa tukio hilo lilitokea wakati akijiandaa kutoka
Maisha Club ambapo ghafla akiwa kwenye ngazi alirushiwa chupa kichwani
iliyopelekea kuanguka kutoka kwenye ngazi hadi chini na kusaidiwa na
wasamalia wema waliompeleka Hospitali ya Mwananyamala ambapo alishonwa
kwenye jeraha alilolipata.
Staa huyo aliongeza kuwa mtu aliyempiga chupa ni mwanaume na tayari yupo
mikononi mwa polisi japo kabla ya tukio hilo alikuwa hamjui na wala
hajawahi kumuona mtu huyo.
Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...
-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Josephine is passionate, dedicated, reliable, responsible, and hardworking. Team worker and able to face all challenging situations. Can ...
No comments:
Post a Comment