26 May, 2015

KAJALA:NAMPENDA SANA WEMA SEPETU ILA ANACHUKI NA MIMI




http://api.ning.com/files/0U8UQjwDEm*FcbnoWGrZxYy-6wUxeTbHtMOQEAYyvNupb16L3HFMzHS-sYBS07ongrXMixcu-6vIWofP0rElsQ0Uyl676skB/ScreenShot20140503at01.56.03.png

Kajala Masanja amesema hadhani kama si rahisi kuwa karibu tena na Wema Sepetu baada ya kugombana.
Kajala amekiambia kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni kuwa bado anampenda Wema na kumheshimu.
“Mimi simchukii Wema, mimi nampenda Wema, kusema ningependa kurudisha urafiki na Wema inakuwa ngumu sana, kwa sababu yeye tayari anachuki na sijui ana chuki kiasi gani? Mimi nataka kusema ni mtu ambaye nampenda na nakaaga nasema namheshimu, ni mtu ambaye alinisaidia,” alisema Kajala.
Pia Kajala amekanusha kutembea na mpenzi wa zamani wa rafiki yake huyo hali iliyozua ugomvi baina yao na kusababisha mpaka sasa kutoelewana.




LIVE FROM TANZANIA

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...