Si
rahisi kuweza kujichagulia jeneza ambalo litatumika kwa ajili yako,
lakini kuna stori ambazo zimekuwa zikiandikwa kuhusu baadhi ya watu
kujichagulia kabisa sehemu ambazo watahifadhiwa pale ambapo wataaga
duniani.
Kuna
wataalamu huko Uingereza ambao wameamua kudesign majeneza ambayo kwa
kuyaangalia yanavutia sana ili tu kuwavutia watu lakini si kitu ambacho
wengi wao wamekuwa wakikifurahia.
Kampuni ya Halliday Funeral Suppliers ltd ni
wasambazaji wa majeneza tangu mwaka 1979 na sasa wamekuja na staili
mpya baada ya kubuni aina mbalimbali za majeneza kwa ajili ya kuongeza
kip[ato cha na kuvutia watu yenye muundo wa nyumba, yenye spika za redio
na hata za muundo wa ndege.
Wamekuwa wakiuza uwiano wa majeneza 30,000 ndani ya mwaka mmoja.
Posted in:
No comments:
Post a Comment