02 May, 2015

WEMA NAE AJIBU MAPIGO YA ZARI WHITE PARTY!

Brother Kufanya Bonge la Party Mwanza Kesho Wakishirikiana na Instagram Parties


Madam Wema Sepetu nae akaona alipize kisasi kwa kwenda kufaya party yake jijini Mwanza leo May 2nd, Jembe ni Jembe Club,  akiwa na Mshindi wa Big Brother 2014 Idris Sultan. Kukiwa na fununu kwamba kwa sasa kishkwambi kipya cha Milionea mtoto huyo ni Wema Sepetu.. Je tutegemee drama jipya mjini?


No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...