Kwa
mashabiki wa Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Hawa wawili ni wasanii
wetu wanaokubalika nchini, kila mmoja kwa namna yake na kila mmoja ana
mashabiki wake. Waliwahi kuwa wapenzi lkn mambo hayakwenda kama
mashabiki na wao walivyotaka wakaamua kwa amani kuachana. Lakini bado
wanaheshimiana na hata familia zao
zinaheshimiana. Na Wema Sepetu bado anamsapoti Diamond ni msanii wake wa kwanza nchini anayependa kazi zake.Mpaka hapo, ukishaelewa hayo huwezi kupata ujasiri wa kuwatukana kivyovyote. Hupendi hawako pamoja? Basi support yule unayempenda au kama unawapenda wote wawili endelea kuwasapoti sio kosa lako hawako pamoja! Ni kwa faida yao nzuri tu yenye nia njema.

No comments:
Post a Comment