Lucifer,
Mkuu
wa
mashetani
aliitisha
semina elekezi kwa mashetani wote Duniani na katika hotuba yake ya ufunguzi wa
mkutano
huo alisema:-
huo alisema:-
"Tumeshindwa kuwazuia WANADAMU wasiende kwenye nyumba
za IBADA"
Tumeshindwa kuwazuia wasisome VITABU vyao vitakatifu na kufahamu
ukweli"
Tumeshindwa hata kuwazuia wasiwe na mapenzi ya kweli kwa MITUME yao " "Mara wapatapo muungano wa kweli kwenye MAHUBIRI ya DINI zao, mamlaka yetu yatakuwa yamefika mwisho."
Kwa hiyo kuanzia sasa waacheni waende kwenye nyumba zao za IBADA, waacheni waendelee na karamu zao za upen do ,
LAKINI waibieni muda, ili wasipate nafasi ya kudumisha IBADA za kweli kweli kwa MOLA WAO MUUMBA...."

"Hiki ndicho ninachotaka mfanye." Alisema Lucifer:
"wataabisheni WANADAMU WOOTE wasipate kamwe kushikamana
na DINI zao na wasifungamane katika KUMCHA MUNGU"
"Tutafanyaje jambo hilo?" mashetani yalimwuuliza
kwa jazba.
"Tutafanyaje jambo hilo?" mashetani yalimwuuliza
kwa jazba.
LUCIFER
aliwajibu:"hakikisheni
wanakuwa 'BUSY' (BUSY= Being Under
Satan's York ) katika mambo yasiyokuwa na umuhimu katika
Satan's York ) katika mambo yasiyokuwa na umuhimu katika
maisha yao
na muwaanzishie mipango mingi sana isiyohesabika ili
kujaza
akili na ufahamu wao. "Washughulisheni na kutumia, na kutumia, na kutumia; na
kukopa, nakukopa, na kukopa."
”Washawishini wake zao waende kufanya kazi kwa siku na kushinda huko kwa masaa mengi sana kwa siku na Waume
”Washawishini wake zao waende kufanya kazi kwa siku na kushinda huko kwa masaa mengi sana kwa siku na Waume
zao
wafanye kazi kwa siku sita hadi saba kwa wiki, na masaa
10
hadi 12 kwa siku, ili wasiweze kupata nafasi ya kutulia na kutafakari chochote
kulingana na mfumo huo wa maisha." "Wazuieni wasiwe na nafasi ya kukaa na watoto
wao"
"Wachocheeni zaidi akili na fahamu zao ili kuhakikisha
kwamba
hawaiskii ile sauti ndogo tulivu ya Mungu wao."
"Washawishini walize radio au kaseti au muziki kwenye simu,
"Washawishini walize radio au kaseti au muziki kwenye simu,
popote
wanapoendesha gari au wanapotembea kwa miguu.
Waache
TV,VCR, CD na KOMPYUTER zikiwa zimewashwa kama kawaida majumbani mwao na
mhakikishe kwamba kila duka na mgahawa kote duniani linapiga muziki usiokuwa wa
KIDINI
tena
mfululizo bila kukoma." "Hii itasonga akili na fahamu zao
na kuvunja
ule muungano kwa MOLA WAO."
"Jazeni magazeti na vijarida mbalimbali vya upuuzi kwenye
meza zao za
kahawa na chai Duniani kote."
"Shindilieni habari na matukio mbalimbali ndani yafahamu zao
kwa muda wa
masaa 24." "Ingilieni kwenye muda wao wa
kuendesha
barabarani kwa kuwaonyesha mabango na matangazo.' "Kwenye masanduku ya posta na
barua pepe jazeni vipeperushi
na majarida
na kila aina ya matangazo ya habari za vitu na hudumu yanayowapa matumaini ya
uongo."
"Wekeni wanawake warembo sana mitaani, club, maofisini na kwenye Televisheni na majarida ili kwamba Wanaume walioko kwenye ndoa wadanganyike na kuamini kwamba urembo wa nnje ndio muhimu, na wasiridhike na wake zao."

"Wafanyeni wake zao wachoke sana wasiweze kuonyesha
upendo kwa waume zao nyakati za usiku.Wapeni maumivu
ya
kichwa ili wasiwape waume zao upendo wanaouhitaji
sana,ili
waanze kutazama kwingine. Wafanyeni Wanawake wawadharau Waume zao na
kuwapuuza.
"Hiyo itaparaganyisha familia zao haraka sana
!
"Wapeni
WANADAMU Waalimu wa uongo ili wawapotoshe wasifundishe maneno ya MUNGU ya kweli
kwa watoto wao
na
waumini wao."
"Hakikisheni wanakuwa 'BUSY' na kusongwa na mambo kiasi kwamba hawapati muda wa kutafakari wema wa Mungu. Badala
"Hakikisheni wanakuwa 'BUSY' na kusongwa na mambo kiasi kwamba hawapati muda wa kutafakari wema wa Mungu. Badala
yake
wapeni kutalii kwenye maeneo ya ajabu, matukio ya
michezo,
matamasha, kumbi za sinema na video."Wafanye wawe 'BUSY,' 'BUSY,' 'BUSY,! Yaani
wasongwe na kusongwa na
kusongwa
na kazi kwelikweli!"
"Na wanapokutanika kwenye ibada zao za kiroho wafanye
waingie
katika umbea na fitina na kuzungumzia mambo
madogo madogo ya umbea na fitina ili waondoke wakiwa na dhamira mbaya
zilizochafuliwa."
"Jazeni visababishi vingi vya mambo katika maisha yao ili
"Jazeni visababishi vingi vya mambo katika maisha yao ili
wasiwe
na nafasi ya kutafuta msaada na nguvu za MUNGU.
Muda
si mrefu watakuwa wakitegemea akili zao wenyewe,
badala
ya maelekezo ya MUNGU, huku wakihatarisha afya
zao
na za familia zao kwa ajili ya maangamizi yao wenyewe."
"Itafanya kazi" "Itafanya kazi!
"Itafanya kazi" "Itafanya kazi!
"Huu ni
mkakati kweli kweli. Mashetani yaliondo ka kwenye
mkutano
yakiwa na hamu kubwa sana ya kutekeleza majuku
hayo
waliyopewa na kuanza kuwafanya WANADAMU wawe
wa kukimbia
na mambo huku na huko. Watakuwa na
muda
mdogo sana kwa ajili ya Mungu wao na familia zao. Wakakosa
muda wa
kuwaeleza wengine kuhusu MAMBO YA IBADA na
kubadili
maisha ya wanadamu.
NADHANI SWALI NI JE SHETANI AMEFANIKIWA
KATIKA MIPANGO YAKE HIYO? WEWE NDIYE HAKIMU !!!!!!!!???
NADHANI SWALI NI JE SHETANI AMEFANIKIWA
KATIKA MIPANGO YAKE HIYO? WEWE NDIYE HAKIMU !!!!!!!!???
'UBIZE' au
kutingwa na kazi kunamaanisha : kuwa chini ya mkataba au utumwa wa
shetani?
PLEASE INFORM YOUR LOVED ONES, IF YOU AREN'T SELFISH !!
PLEASE INFORM YOUR LOVED ONES, IF YOU AREN'T SELFISH !!
Frank Mbalani: na wewe utakuwepo?
ReplyDeleteNovatus Kikoto: mashetanwekunduauweusi?tufahamishevzr.
ReplyDeleteTengia Vitalis: Kwenye huo mkutano wewe utakuwa kama nani?
ReplyDeleteFrank Mbalani: likes this.
ReplyDelete