Mfano mzuri ni wanamuziki wa Kongo walioko hapa Tanzania.Wakongo wako tayari kuwa na pea hata zaidi ya kumi za viatu au suti hata kama hana mahali pazuri pa kulala.
Mfano mzuri ni picha zifuatazo.
Kijana wa Kikongo akiwa smart tayari kupigwa picha studio
Kijana wa Kikongo akikatiza mitaa ya Lubumbashi
Mzee
wa Kikongo akikatisha mitaa ya Kinshasa
Hata mazingira yakiwa
machafu bado haijalishi.Unadhifu ni muhimu tu
Haijalishi unakaa nyumba gani inayotakiwa ni unadhifu
Ume cheki
mmechisho huo? Utampenda
Hapo jee? boonge la pozi
Pozi matata
Hijalishi mazingira unayokaa unadhifu ni muhimu kila wakati
Kijana wa Kikongo akikatiza mitaa kwa mbwembwe nyingi na kinywani akiwa
kaweka mtemba
Kijana
wa Kikongo akiwa amejikoki kwa pamba za ukweli
Big up Wakongoman
No comments:
Post a Comment