Haya ni baadhi ya mazungumzo yaliyofanyika katika
mtandao wa marafiki face book
kulalamikia tatizo la mafuta nchini…
Othman Michuzi Alisema…
Pamoja na mkwara ulipigwa bungeni leo juu ya wauza
mafuta,lakini bado jamaa wameidindia SIRI - KALI.kweli hii ni bongoland
Philip
Benedict akamjibu
Yan nashindwa kuelewa nani bosi nchi
hii...hivi mwenye nchi mwenyewe yupo? cmskii kabsa...au halimhusu hili?
Abdallah
Mwaipaya nae akasema…
Hii ndo hali halisi ktka vituo vya mafuta
Dar!!!!!haki ya Mungu nchi hiiiiiiiiiii!!!!!!
poleni sana wenye magari yenu
jamani hii barabara, jana nimetembea
kwa mguu na leo tena sababu daladala haliwezi kupita hapo
Loh!tunaelekea kubaya sana n hii nchi
ye2,umeme shida,maji shida sasa hd mafuta cjui nn tena kinafuata hp!
Hv watanzania wamelishwa nini na
serikali? mbona wapole sana!
habari ndo
hiyo
Wapi hapo jamani?
hapa sinza mori tena nasikia hawakuuzii zaidi
ya mafuta ya elfu kumi tu nchi ishauzwa hii
Nchi hii ni sawa na baba ambae
ameshashindwa kumkanya mwanae...
ndo mpaki magar yenu muweze
kupunguza folen @ mwaipaya
sasa huyo bigbon nae akigoma
inakuaje. . .
jaman na cc tuco na magari hayo
madaladala yanamafuta kweli?mbona tunapotea
Shukrani K.
Mbirigenda Maryline
kitakachofuata ni hewa. Hapa mafuta yalikuwa
yanauzwa ya elfu 10 tu kwa gari uwe unataka zaidi au lah. Sasa tutaanza
kupimiana hewa pia kama umeme na mafuta!
Yaani nimekuja hapo big bon sinza
wamesema wanapumzisha machine kidogo,tumesubiri kwa saa nzima wanasema mafuta
yamekisha,nimesogea GBP mbele ya big bon hola,kuna mtu kanambia faya wanauza
nimeenda hola,hapa nimekuja hapa magomeni karibu na mataa hawauzii,hapa taa
imewaka na inataka kuungua
duuuh bora uanze kutembea kwa
daladala maana therez no nid kuwa na gar
Yaani Abby Moshi ndo hakufai mambo
ni hayo hayo tangu asubuhi, wanasema hakuna mafuta kote...yaani tabu moja kwa
moja, can U imaging sheli iliyoko karibu na keepleft cha YMCA moshi, ilikua ful
foleni mpaka kukaribia round about ya posta Moshi..eti foleni ya mafuta tu
hiyo, na hapo c kua yapo tumeambiwa hakuna..
Kwani hayo madaladala yanatumia maji@Angel
kusave mafuta yako ili cku ikiwa
mambo fulan haaaah ful kujidai
Si suluhisho hlo
it beta n bush kwet mambo km hayo
hakuna
Yatakucost tu unapozungumzia mafuta
unazungumzia kkila. Kitu katika uchumi,mafuta yakipanda bidhaa hupanda pia kwa
sababu zinafuatwa na magari ambayo yanatumiia mafuta,nauli ya kwenu Lindi
itapanda mara dufu,so mafuta hayamuathiri mwenye gari peke yake hata
wasionamagari@Angel
nakupa pole xana @mwaipaya naul itapandaje na
mafuta yanatakiwa kususha,hku mambo pouwah naul imeshuka ,mafuta ndo uciceme kz
kwenu
Haya bana nacc ngoja tuhamie Lindi
haaaaaah..unakaribishwa xana we tu
Aisee kama huko kwenu yapo nunua unitumie kwa
msg au bluetooth
huwa cinunuwi bal naagiza yanaletwa
then nitakutumia
km lita mia hv cjakutosha au zaid
@mwaipaya
Mm hata lita mbili zantosha bado
nimekwama kituo cha mafuta magomeni tangu saa sita
pole xana ngoja nifanye mchakato
uwai futari au unasemaje maana maskan mbal kutoka magomen kwa lita mbil haitosh
ngoja nikuagizie hamsin kwa leo kesho mia angalau yakusogeze
Na ukitoka hapo kwny folen ya mafuta
unaingia kwny folen ya barabarani,namna hii c ht kale ka bby katakuwa hakakujui
coz ukifika unakakuta kameshalala teh!TANZANIA YETU HII BANA!!!!
ni noumaaah n way out ndo nchi yako
@holex felix
Ehee!ndio nch yangu nifanyaje
tena!@angel
Arusha pia leo petrol hakuna vituo vyote vys
mafuta hii serikali ina mpango gani ina maana wenye vituo wana sauti kuliko
serikali ama kuna kitu hapo kati
Ana inabidi tuliangalie hili suala
kwa jicho la tatu
Samahani wananchi, sijafahamu sababu
iliyofanya vituo vyote vya mafuta viwe vikavu. Is it shortage of supply or
disagreement between serikali na garage owners?
Ownerz wanapinga serikali kushusha bei ya
mafuta kwa takriban tsh 2
U duuu kwa mtandao huu
tutafika kweli jamani tz?
Yaani bora wangeacha bei ya zamani
tushajizoelea sisi
Shadrack Julius nae
alisema hivi…
"Kabla haijafka saa kumi na mbili jion,wauza
mafuta wote waanze kuuza mafuta,otherwise askar wetu wa jwtz waende kwe
goodowns za mafuta wafungue mafuta,na pia manyanganywe leseni za kuuza
mafuta",by hon,ZITTO KABWE
mh nimeshutka i thought wewe ndiye
umeongea@shadrack
Jaman we wa wapi?hujaona symbol za
quatation??mmh?ni mh kabwe,watch bunge saa kumi jion@nosim
au siyo? habar bure!
me wa umasaini@shadrack vitu kama hv
mh sivifahamu mpaka nimeangalia mwisho ulivyomalzia mhmhmh
we mkali mwanangu.
Thnx wangu@flora
Ha ha ha,poaz wangu@nosim
Nimeipenda hyo @ shady
Feo Simon
Sheddy
smtms kwenye familia hata houseboy
anaweza utoa wazo zuri kuliko la mwenye nyumba the only problem huwa
wanamignore, Zito kasema je baba atalikubali/kuongea chochote?
Ndo hapo ss,tunasubir hyo saa kumi.kama
serikal itasema chochote wangt
Vp tena wangu-watch bunge saa
kumi@emma
ila wanasemaka kaka!hii ni siasa tu,nasikia
huko watu wanatembea kwa miguu
Ndo ivo wangu,nimckia wazir muhucka,kajb
politics tu na ahadi nono kama kawaida yao bt hali bdo iko vile vile@elly
dah!hii bongo sijui tutabadilika
lini,umeme shida,mafuta shida,elimu ndo kabisa,ajir ndo mhh!afya ndo
kabisa,labda ipo siku mna naoan maji yanazidi unga ss
Mohamedy Ismail aliuliza…
jamani naomba kuuliza???
rais wa tanzania yupo ???umeme haku ???
mafuta haku ???.
vyakula bei juu ??.
Big bon ya wapi???
aaaahhhhh, c mliamchagua kwa kura zenu?
bg bon hapa kariakoo
yani natamani cjuwi tunaelekea wapi
yani natamani cjuwi tunaelekea wapi
Me pia niko hapa big bon kkoo yan
hii foleni dah
umeasahau na maji hayatoshi
Jamani yani 2015 kutawaka moto sana
mm najiuliza atakae gombea urais kwa tiketi ya ccm atawadanganya nn tena watanzania ???.
mm najiuliza atakae gombea urais kwa tiketi ya ccm atawadanganya nn tena watanzania ???.
mi dady nangombea kwa tiketi ya chadema naomba
kura yako
mwangu kura yangu umepata maana hii
ccm itatupele pabaya sana
mohamedy nunua ya vidumu ndo wanatoa hapo
hapo ulipo chukua dumu lako nenda kanunue wanakuhuzia bt si kwenda na gari mie
jana ndo nimefanya hivyo
kweli alafu mafuta sasa ivi ukitowa
elfu kumi unapewa mafuta ya elfu tano ???
hii nchi sasa naonakabisa imeshakuwa mbaya
hii nchi sasa naonakabisa imeshakuwa mbaya
Pole kaka @mo ss sijui tulie na
umeme au mafuta au chakula kwani vyote ni mtiani kwetu eee Mola tuhurumie utupe
njia ya kutoka katika haya km amani tunayo lakini maitaji muhimu yanatokea je
tutafika kweli tuendako rais yuko bt hizo kero zote hazimgusi hata kwa theluth
atafil vip machugu yetu?
raisi yupo anatabasamu tuuuuuuuuu! najivunia
kuwa na raisi peace anatabasabu hadi kwenye misiba tutamkumbuka kwa tabasa tu
nothing else
kusema kwali mm vjuwi rais
nitamkumbuka kwa kitu gani
i real miss mkapa alijitaidi sana
kikweta cjuwi nini masikini ??.
i real miss mkapa alijitaidi sana
kikweta cjuwi nini masikini ??.
Mwesy Muhingo
alitoa wazo hili…
HIVI WANANCHI WAKIAMUA KOCHOMA MOTO PETROL STATIONS
ZOTE AMBAZO HAZIUZI MAFUTA, JE SERIKALI ITAENDELEA KUKAA KIMYA? JE WAUZA MAFUTA
WATAENDELEA KUFUNGA VITUO VYAO?
hilo zoezi likifanyika litazaa
matunda Mwesy coz wengne watahofia kupoteza vtuo vyao.nahii serikali yetu
imezid kuwa bubu cjui wanawaogopa hao wamiliki wa vituo vya mafuta
@Light, itabidi tu tufanye hivo mama....
Boni, kweli kaka, itabidi itabidi
tuanze aisee, kwa sababuserikali yetu huwa haifanyi maamuzi mpaka ione madhara
ya kutofanya maamuzi
Nadhani tungechoma magari ya
kifahari ya serekali kwanza.Wafanyabiashara hawatoi huduma wanatafuta
faida.Tatizo ni kwamba wenye kuuza mafuta wote wapo BUNGENI na
serekalini.Amkeni ndugu zangu.Hata wa Malawi wametushinda???Kwel Tz tuna amanii
wesy tuko kwenye kikao cha kamati ya
bunge kuhusu tatizo la mafuta!!!! tukitoka nitakupa jibu nini kifanyike!!!
Boni amka ndugu yangu! Wabunge karibia wote
ndio wafanyabiashara hiyo na ndio maana wameshindwa hata kuzibita uchakachuaji
wa mafuta ndugu yangu.Fanya utafiti kwanza.Serekali makini ingeshafanya maamuzi
mazito tayari.Wapo busy wanajiandaa na uchaguzi wa chama chetu mwakani baada ya
hapo wataanza kujiandaa na wa 2015
Amini mtakaa vikao sana.Nyie si watu
wa posho?Semina elekezi hazikuwasaidia vikao vya dharura vitafua dafu??Pooor me
nimechoka kudanganywa
Mi naanzia Kibaha hadi Ubungo
velle ntakupa majibu ya kikao si
mda. tafadhali msichoke vikao. bila vikao mambo yakai sawa. vumilia
msichome vituo wakubwa. subira ya
vuta kheri. mmesau kauli zetu za kitanzania wananchi???
Ha ha ha, naona Amini anatuzingua,
hivo vikao mara zote maamuzi yake yanaumiza wananchi, ila tukishaxhoma vitaano
tu, wengine wote watafungua, bila kujali ni kituo cha waziri, mbunge,
mkurugenzi wa Ewura wala Kikwete, na hata kama hawana mafuta, watanunua kwa
haraka ssana. Yaani hiyo solution pekee ninayoiona.
mwesy hiyo ni solution pia. unakumbuka mabibo
wakati wameficha maji kisimani, watu tukavunja mlango wa wadeni maji yakatoka
in no minutes mabwenini?? hebu tuvute subira tuone kikao kitatoa majibu gani.
ninavyoongea na ninyi hapa, mh january makamba anachangia. majibu yakitoka
tutajua tufanye nini!!!!
That won't be the solution either!
Andrea, then what should be done brother.
That's the question to ask: the problem with
this country is that most people lack seriousness in issues that even affect
them. They end up complaining and when a call for action is made they
dissappear. Unakumbuka tukiwa chuo kukiwa na maandamano wengine wanapanda
daladala wanasepa, tukawa tunachuma fimbo kule kwa Luhanga tunasimamisha
daladala na kuchapana bakora kama watoto coz huyu anayeondoka bumu likipanda
hakatai anakula...! So hapa tuna kazi kubwa ya kuelimishana kwanza ili watu
waache unafiki wa kushabikia tu halafu ukisema tuandae maandamano kama
wanasheria utaona nani atakuja, ukisema tuandae tamko utaona nani ataunga mkono
na nani atakaa kimya! Waingereza wanasema FIRST THINGS FIRST. So first is
serious education bila kuangalia mambo yaliyopo sasa kwani haya ni treiler tu
ya movie to come! Tusiwe tunaangalia matukio leo tunaema mafuta, mbona hatusemi
effect za mambumu tena, no one is even thinking of it..! na nikilisema hili
watu wananishangaa unaongelea mabomu wakati tunataka mafuta...! Narrow
thinking! Tunapaswa kuachana na matukio tuelimishane kuhusu UZALENDO KWANZA!
Tukiweza hilo I am telling you hakuna atakayemwambia mwenzake kuandamana,
kutakuwa na consensus ya wote, na hata akitokea mtu kutangaza course of action
kutakuwa na ukubalifu wa wote. Bila hilo we are blah-blah-bing tu hapa. Mimi
nimeliona hili na nikaanzisha page inayoitwa TUIOKOE TANZANIA kama njia ya
kujengena kimtazamo na kuanza kudeal na vitu kiukweli ukweli. Welcome to the
page everybody. First Things First brother..
Ha ha ha Andrea, umenikumbusha modality za
chuo. Sijui nani katuroga sisi watanzania....
Ha ha haa.. Yaani viongozi wanatake
advantage ya hali hii. Tunapaswa kuacha complacency... hapo tutasonga mbele. We
utashangaa hata uchaguzi ukiitishwa leo bado watu wataipigia CCM JAPO
HAITASHINDA!!
Ha ha ha, japo watu wa kuipigia kura
CCM wapo, lakini utafiti unaonyesha wamepungua sana, wamebaki wachache sana....
Hao wachache ndo wananichanganya akili kaka
Fatma Muhingo
Nimeona mna mawazo mazuri sana @Andrea, Valle kwa kweli mmeongea neno la
msingi. Valle anawajua vizuri ndio maana wanajidai kuitisha kikao huku wakijua
watabuy time kusifanyike maamuzi, kwani inashindikana kuweka askari kila kituo
na mafuta yakauzwa? huu ni mchezo na ni mchezo mchafu ambao umekuwa ukichezwa
kama pool katika serikali hii ya awamu ya NNE, UNAFIKI NA UZANDIKI WA VIONGOZI
WANAOIJIITA WASHAURI WA SERIKALI...UTAWASIKIA WANAKAA WANASEMA "LAKINI
KATIKA HILI BWANA RAISI HALIMGUSI KABISA WAZIRI NDIYE KASHINDWA KUFANYA
MAAMUZI," KAMA NCHI ITAKUWA INAENDESHWA KWA EMEGENCY CALL HATUFIKI POPOTE.
ANDREA naungana na hoja yako 100% tuikomboe Tanzania. Mwesy tukichoma moto
tutasababisha maafa maana vituo vingi viko karibu na makazi ya watu watoto
watapoteza maisha, hii inaweza kufanyika bila moto...ni kuwafungia wabunge huko
bungeni hadi yauzwe maana wao ndio wenye biashara.
@Shilenjela umenena vyema mimi naona
wakati umefika wa rais kuhusishwa moja kwa moja na kushindwa kazi kwa
aliowateua..! Holiday litaindoa unafiki unafiki WA wanaoikoroga nchi yetu kwa
kujikomba komba kwa mtu ambaye yeye mwenyewe anajua sasa hivi ameshindwa
kuiongoza nchi. Nchi siyo NGO bwana..!
@Andrea, ni kweli
kabisa. Nchi sio NGO, lakini pia NGO inayoendeshwa hivi pia ni ya kitanzania
huwezi kukuta NGo serious ikiwa inajiendesha tu kama kasuku, leo mabomu...hao
tunasema mabomu...babu loliondo nchi nzima loliondo....leo mafuta....kesho sijui
kitaibuka nini...TUMECHOKA na TUAMKE sasa! Hatuitaji utafiti kukiri kuwa nchi
sasa haina SERIKALI inayojali maslahi ya nchi.
Unajua kwa nini serikali yetu
inashidwa kuchukua hatua ni kwa sababu wao wenyewe ni wabia wa biashara hizi
kama si wao ni watoto wao.... kwa sababu Waasia kamwe wasingekuwa na nguvu hizo
hata mara moja. Aidha hawa jamaa wamekuwa wafadhiri wakubwa wa chama cha watu
wa kijani so hawana ubavu wa kuwaonya hata mara moja
Kuna mtu aliwahi kusema kwamba janga
kubwa kuliko yote ambayo Tanzania inayo kwa sasa na RAISI ALIYEPO MADARAKANI,
mi nakubalianan kabisa na huoo usemi, coz nafikiri mimi ningekua ndo raisi
mpaka sasa ningeshawanyang'anya licence wauza na mafuta na kurevolk titile zao
za umiliki wa hizo plot 4 public interest, na hizo petrol station nikazigawa
kwa watu wanaoweza kufanya biashara
I simply say Yes! Son
@mwesy. Kuna wabunge wawili wamenipa mahope kwa hoja zao na maswali "hivi
serikali ilibinafisha hadi mamlaka na uwajibikaji wake?" Zitto.
"...Haiwezekani hadi sasa serikali imekaa kimya hebu semeni kitu...toeni
tamko". January Makamba
é@¥"$£Mumy, this country is full of movie
actors and directors, am telling you, kesho wauza mafuta wengi hawatafungua
vituo vyao na serikali itakua kimya, kish
é@¥"$$a kikwete nae ataongea
hayo hayo. let's wait and see.
Source: Face book August 2011
No comments:
Post a Comment