18 September, 2011

Soma huu ujumbe kwa utulivu!

Mwanamke Hodari/Jasiri anajua namna ya kupanga maisha yake. Pamoja na machozi machoni mwake, bado anaweza kusema 'NIKO SAWA' au NINAWEZA' huku akitabasamu! Mungu ni MWEMA! Mabadiliko yanakuja, MUNGU amesikia maombi yako, na kusema MAGUMU yamekwisha! 

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...