Aliyekuwa mwanamuziki, producer na mmiliki wa studio za Motika records za jijni Tanga, Abel Motika a.k.a Mr. Ebbo, amefariki dunia jana saa 3 usiku akiwa hospitali ambapo inaelezwa alikuwa akiumwa.
Ebbo atakumbukwa enzi hizo alipotamba ile mbaya na wimbo wake 'Mi Mmsai' , uliotokea kupendwa na mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva ukanda huu afrika mashariki.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa.
Comments from Face Book Friends
Erick Pam Acha 2 jose ebo katutoka hvi hvi
Perus Jumanne Kwakua njia ni moja ya2pasa kumuombea.
Ally Mtoro Ni kweli kabisa nami nasema R.I.P Mr Ebbo
Robisony Crussoel Mungu ailaze roho ya marehem mahala pema pepon!AMEN
Johnson Kisha Kafanabo A yu sirias???!!Nini tatzo aswa?
Yahaya Masanja jamani kafa kwa nini tena?ajali au?
Robisony Crussoel Wanadai yakuwa alikuwa anaumwa toka mda mrefu@all
Ismail Makamba Yeye mbele sisi nyuma, tumuombee kwa mola ailaze roho yake mahari pema peponi ameen
Godwin Michael mmmmmh!jaman hata siamin kama kwer katutoka.kwan alikuepo anaumwa nin jaman au?
Allan Nyiti Ugonjwa ni (MAADHIMISHO YA JANA)yaan kamalizia 2 kuadhimisha cku yao kaxep.....
Remmy Maimu kuwa na adabu unamsemea jua na wewe utasemewa,usihukumu utaukumiwa
Caroline Gondo R.I.P Mr.Ebo
Allan Nyiti Xoma coment imeulizaje cjakurupuka men na cjahukumu nimejb coment bro upo?
Gift Kangele Rest in peace mr.Ebbo.
Alex Igande kazi ya bwana haina makosa, jina la bwana lihimidiwe.
Doris Nam Josephine nashukuru kwa kuweka hii post....Ebbo is my Cousin bro. ila its not true kwamba kilichomuua ndo alichoandika mdau hapo juu,nway ndo walimwengu!!! MAY HIS SOUL REST IN PEACE
Msaki G Godfrey R.I.P Mr Ebo
Emanuel Chacha mwenyezi mungu hamuweke mahali pema peponi amin
Jay WA Kitaa Bwana ametoa na bwana ametwaa kaz ya mngu haina makosa
Lameck Hamisi Da k2 ch kamong, nin fahari yko(ucsarau nymban ..ile ..atakama shmon),.....dah!
Josephine Joseph Tuta kukumbuka daima milele! Ipo siku moja
Msaki G Godfrey ameni
Bienvenue Kiyombo Thank you
Paschal Junior Mungu akulaze mahari pema peponi MR ebbo sisi tutazidi kukumbuka kwa sala

Izack Mangesho Tumwombe majaliwa kwa Mwenyezi Mungu
Albin Yudos r.p.i
Juma Zuberi Thanx 4 that news.niko poli hakuna chanzo cha habari.jamaa atakumbukwa daima hasa kwa kudumisha uasilia.
Alex Igande kamongo, kamongoooo kamongoooooo ndiyo basiii tena? nani atasmama kama ww kaka? mmsai asiilia?!! Bt R.I.P Mr Ebbo.
Catherine Mbogela let him Rest In Peace....
No comments:
Post a Comment