04 December, 2011

UPANDE WA PILI WA RAIS BARAK OBAMA!


 Waandishi wa habari nchini Marekani ni noma, hawana dogo hata kidogo!
Wameweza kuonyesha ni jinsi gani macho hayana pazia hata kumfanya Rais Barak Obama 
kugeuka kuangalia "wezere" la mlimbwende aliyekua akipita!

MAONI YA WADAU FACE BOOK
Barak Makaba uyu kumbe nae yumoooooooo
Kain Chaula Ayaaa dadaa c obama huyo au ....
Emanuel Chacha naona mushimiwa kamaind totoz
Peter Mtaita dah hii kali,anway naye ni binadamu.
Jogoo Kuchi Bint yko huyo.
Jonas Amos Hapo ndo penyewe!
Rossada Marijani du!dingi wa dunia naye kumbe yumo?macho hayana pazia kw kweli..
Rossada Marijani du!dingi wa dunia naye kumbe yumo?macho hayana pazia kw kweli..
Emanuel Chacha ndipo penyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Jozee Kigata Kweli ivi vi2 ni noumer!
Jema Athumani Ngunde Mmmh@swadaktaaaaaaaaa!
Francis Mashallo Hawa ni akina JAY ZIIIIIIIIIIIIII nini?
Francis Mashallo Kumbe Maprezideee wengi wanapenda hiii kitu etieee? Hi kitu, hi kitu, hi kitu HIIIIIIIIIIIIIIII?
Josephat Kesagero ni soooooooooo
Thomas Mushi dah,kumbe na wakubwa wanategeka?
Gicha Man obama anatazama ki2 kimewamba hapo hamkumbuki michele             
 Hery Viel Michael Mmm! hii kali hata wakuu wa nchi
Robert Collman Kumbe mshikaji nayeye huwa anamezea mate?
Birungi Kahatano hehehehe anakula na kushiba huyo lazima amezee mateeeee


1 comment:

  1. Mwacheheni jamani hiyo ni dhambi ya asili haina mwalimu wa jasili,hinye kitu cha aina yake,hajavunja mpaka kaonyesha udume wake.

    ReplyDelete

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...