15 March, 2012

A FREEMASONS RELEVATION TO TANZANIA. 6/6/2011.

 
Do You Beleave this? Soma toa maoni yako !!

Katika ibada iliyofanyika NJIRO-ARUSHA. Maono haya yalishuka. Mnyama mnayemwona ana MBAWA NNE na VICHWA VINNE.
 
tafsiri:- 
MBAWA NNE ni AWAMU NNE za uongozi wa NCHI ya TZ.
VICHWA VINNE ni VIONGOZI WANNE wanaoitawala TZ.
MBAWA YA:-
1-AWAMU YA KWANZA.
2-AWAMU YA PILI.
3-AWAMU YA TATU.
4-AWAMU YA NNE.

KICHWA CHA:-
1-JULIAS K NYERERE.
2-AL-HADJ H MWINYI.
3-BENJAMIN W MKAPA.
4-JAKAYA K MRISHO.

Mnyama huyu ni CCM ambayo imebeba dhamana ya AWAMU NNE za UONGOZI. Hivyo UNABII HUU unanyesha MWISHO WA UTAWALA WA CCM ni katika AWAMU ya NNE chini ya JAKAYA KIKWETE. Kama ingeendelea kutawala basi MNYAMA HUYU ANGEOTA KICHWA CHA TANO pamoja na MBAWA YAKE. Kwa kuwa hakuna zaidi ya 4 basi HUU NDIYO MWISHO WA UTAWALA WA CCM. UNABII HUU UMEPOKELEWA NA FREEMASONS ILL. ARUSHA MJINI.
 Na haya ndio yaliyosemwa na wadau wa Face Book
Maftah Firewall You cnt be serious. . . . MUDY
Faith Joyce Tafsiri yangu juu ya hili ni tofauti kabisa na sitaki kuandika hapa ila Mungu ameisha nisoma mawazo yangu nilipo ona huyu Shetani. Ehee baba wambinguni naomba unisamehe kwa kutenda dhambi kwa mawazo kama sivyo
Hussein Musa I don blv ila cpendi ccm iendelee kutawala nchi hii
Mohamedy Ismail Maftah Firewall === iyo ndivyo walivyoona kwenye ibada zao nn mawazo yako juu ya ili jambo???
Dorin Strider Jeryson Whaat! O.M.G
Ras Busa Jah Du!amzg,kila m2 naimani yake,perhaps ts true bt does't mata 2me coz,MY PREZO,MY KING,MY SAVIOR,MY GOD is JAH,4rever loving JAH n JESUS HIS BEGOTED SON.
Mohamedy Ismail Faith Joyce ==== hao ndiyo freemason aka watawala wa dunia ya sasa ...==kuna haja yakuwajuwa vzuri freemasons nitakuambia kwann one day ..
Dorin Strider Jeryson Mungu uliyeko juu pahala patakatifu tuhurumie baba.
Mohamedy Ismail Hussein Musa ===so ww unaona uyu mnyama alichosema ni kweli?
Dorin Strider Jeryson Mimi njoo inbox unambie nnaham kweli@isma.
Maftah Firewall Naomba mpitie ufunuo wa Yohana 14 kama sikosei ktk mnyama yule wa ajabu. . . 
Mohamedy Ismail ‎@dorin === unawajuwa freemasons ??? 
Ras Busa Jah Kuwepo hao nilazima wala hainitishi,coz imeandikwa lazima iwe ili KRITO arudi. 
Noel Kinyau Mdudu Shujaa Are u sure  
Faith Joyce Yaah Mody ndiyo maana sikutaka kusema mengi. I hate FREEMASONS, their followers and activities. Though they r Powerless infront of God. 
Azou Iddy Astaghafirullah 
Dorin Strider Jeryson So unanambia mtawala wa tano n chadema? 
Dorin Strider Jeryson Haleluyah@faith 
Geoffrey Mallya duuh! Hiyo noumah ila ccm ikiondoka madarakani nitafurahi sanah 
Faith Joyce Binadamu inabidi tujirudi na kuacha kutenda dhambi vinginevyo tutaishia kuwa upande wa hawa Freemasons and we will never March to Heaven that will remain history
Dorin Strider Jeryson Ndo nafunua biblia hapa@maftar 
Mohamedy Ismail Mwanawavitto Kiraro ====== NAKUOMBA KIDOGO UTUMIE MDA WAKO KUELEZEA WATU JUU YA HII IBADA YA FREEMASON ..
Presidaa King Emmanuel Mikwara tu hyo! Hakuna lolote
Mohamedy Ismail Maftah Firewall ==== FREEMASONS WANAAMINI WASOMI NA WALIMU WA BIBILIA WOTE NI VPOFU MAANA USOMA LAKINI HAWAIELEWI BIBILIA ...,
Mohamedy Ismail Ras Busa Jah == KATIKA VITABU VYA DINI ZOTE WAPO ILA BINADAMU TUMEKUWA NA UELEWA MDOGO NA IMANI NDOGO JUU YA MUNGU..
 Mohamedy Ismail Noel Kinyau Mdudu Shujaa ===SURE OF WHT?
Raya Said Mola a2nusuru jamani 
Dorin Strider Jeryson Jaman someni ufunuo wa yohana 17 fungu la 1-18 mtaelewa vzuri.
Mohamedy Ismail Dorin Strider Jeryson === JITAIDI SANA UTAFUTE MDA UWAJUWE KWA UNDANI ZAIDI FREEMASON MAANA UTAJUWA MAMBO MENGI SANA..
Mohamedy Ismail Dorin Strider Jeryson === TUANDIKIE HAYO MANENO YA UFUNUO..
Dorin Strider Jeryson Hapa nasoma bible hao ni alama ya mnyama 666.
Mohamedy Ismail ‎@GEOFFREY ===== HAHHA INAONEKANA PIPO AMUIPENDI CCM LOLZZZ
Faith Joyce ‎@Maftah samahani kuuliza Yohana itakuwa ni mtume yupi kweny Bible ya Kingereza?
  Abeid Mtezo Kila mtu alioteshwa hutu mdudu, au ni mdau mmoja tu katika huo mkusanyiko??? Kama ni mmoja tu, inawezekana ana pepo.. Ila kama ni umati wote, inawezekana kuna ujuju zaidi uliofanyika hadi huyo mdudu akawashukia.... I would rather question under what mazingira huyu mdudu alitokea kuliko ascribing huyu mdudu to a sect or group independent to the umati uliowatokea...
Mohamedy Ismail Faith Joyce ===== MBINGUNI MBALI SANA NA HATUWEZIKUFIKA UKO KAMA HATUTABADILIKA MAPEMA.
Mohamedy Ismail Raya Said == MOLA ATAKUNUSURU KAMA NA WEWE UKIWA NAE PAMOJA.
Dorin Strider Jeryson Hapa anaongelewa mnyama mwekundu mwenye majna ya kufuru na pembe kumi na vchwa saba.ambao ni utawala wa dunia.
Noel Kinyau Mdudu Shujaa Okey let wait ila n moja ya mnyama katk ktabu cha Daniel na Ufunuo
 Mohamedy Ismail ‎@PRESIDAA ==== INAWEZEKANA IKAWA MIKWARA
Raya Said Ndio najitahidi sana kuwa nae ili ni nusurike
Mohamedy Ismail Dorin Strider Jeryson ==== KUNA MAMBO MENGI YAKUPASA UYAJUWE MAANA UKIYAJUWA UTAJUWA DUNIA ILIVYO .
Mohamedy Ismail Noel Kinyau Mdudu Shujaa ===== MAMBO YOTE YANAYOTENDEKA KATIKA DUNIA YALISHAANDIKWA KWENYE VITABU VYOTE VYA MUNGU TATIZO TAMAA KUPENDA PESA NA MAISHA YA RAHA YAMEWAPELEKEA BINADAMU KUYAISHI MAISHA YA KISHETANI..
 Maftah Firewall Faith funua John's revlation@ Dorin unaelewa maana ya 666!?
 Feruz Feysal Nimeipenda lkn cti neno coz cna casa wala cpigagi kura kumtengenezea mtu maisha mimi,itawale ccm,chadma,takukuru yote sawa maisha mazur yatakuja nikifanya kaz kwa bdii tu,na c casa.
Dorin Strider Jeryson Mh em somen mana natetemeka aloo.
Mohamedy Ismail Azou Iddy === KUNA UMHIMU WAKUIJUWA DUNIA TULIYONAYO SANA.
 Dorin Strider Jeryson Najua ni alama ya mnyama ambayo itaamuru dunia nzma itumie pesa 1 yaan hakuna kuuza wala kununua bla hyo pesa.@maftar
Noel Kinyau Mdudu Shujaa Kwel jembe xahv 2nayapuuzia ila ipo cku 2
Maftah Firewall Usiogope Dorin huo ndio ukweli ni kama Nuhu alipokuwa akiwafundisha hawakumsikiliza.
Faith Joyce Asante sana Maftah. Utani inabidi uhondolewa hapa dunia tunayoishi kuna binadamu tunawaona na ngozi kama zetu na kudhani ni binadamu wenzetu lakini wafanyayo wanauwezo wa kuwasiliana na Shetani uso kwa uso kwa kumuabudu na kutaka kuwamaliza binadamu wafatao nyayo za Muumba wetu.
 Faith Joyce Bahati mbaya sana ninatembea na New Testment nitaisoma nyumbani kwenye NIV. Mimi huyu myama ananitisha naogopa lakini Mungu ni mwema hii ni Relevation kutoka kwa bwana matendo ya Shetani yanaonekana wazi kwahiyo ni honyo tijirudi mwaisho wa dunia wakaribia
Dorin Strider Jeryson Ameeeen
Maftah Firewall Ya Mungu mpeni MUNGU na ya kaisari mpeni kaisari
Jina la bwana lihimidiwf, .
  

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...