12 April, 2012

KITABU CHA KANUMBA MITAANI!!

Hii ndio bongo zaidi ya uijuavyo, watu wanacheza michezo michafu, maisha yanakwenda; na ule usemi usemao kufa kufaana umethibitika baada ya watu kutoa kitabu chake, Je fedha zinazopatikana zinaenda wapi? Hata matanga hayajaisha!  Hata hatujapumua!! Watu ni nouma inaelekea walianza kuandika kabla hata marehem haja zikwa.  Watanzania  pesa mbele halafu mambo mengine ndio yanafuata.   
Kwenye taarifa ya habari, shirikisho limesema watu wanaojinufaisha na kazi za Kanumba bila ruhusa ya familia au shirikisho liache mara moja la sivyo litawachukulia hatua za kisheria. Hata hivyo  walisha anza kujinufaisha kabla hata ya mazishi maana watu wengi waliprint fulana na kuziuza kwa elf 15 mpk 20 tena wengine walikua wanauza kwa kificho kweli. 
 Kufa kufaana. Watanzania wako fasta kweli!

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...