02 May, 2012

ENZI ZA MWALIMU.......

Hebu pata picha VIONGOZI  LEO HII wapewe huu usafiri kuwatoa nyumbani kwenda kazini KILA SIKU..KATIKA MKAKATI WA KUPUNGUZA GHARAMA ZA SERIKALI,KUBORESHA AFYA ,NA PIA KUPUNGUZA FOLENI MJINI...hehehe,,,,,nini viongozi,,,WEWE JE UPO TAYARI???? mmh!?

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...