02 May, 2012

ULISHAWAHI KUMUONA RAIS JK AKISAKATA RUMBA?

Hotuba ya JK kutoka Mei Mosi kule Tanga jana, hasa sehemu ya mwisho kuhusu wizi wa pesa za umma pamoja na jitihada zake za kuwaasa viongozi wenzake kuacha tabia hiyo ya kuzikwiba. Amelipongeza Bunge kwa kujadili kwa kina taarifa ya CAG na kutoa mapendekezo. Hivyo ameahidi kuyafanyia kazi akianzia na Wizara zilizotajwa na CAG.Bravoooo Mukulu kwa mineno ya Hekima hiyo au siyoooo!!
    Cheza kwa raha zako baba

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...