09 June, 2012

Asha-Rose Migiro na Obama!

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dr. Asha-Rose Migiro, akiwaongoza Rais Obama na Mkewe Mama Michelle Obama, kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Umoja wa Mataifa, huko New York, USA. 
Dr. Asha naamini ukiamua kujitosa kuchukua fomu ya U rais 2015 utapata ushindi wa kishindo. Kama hukuwahi kufikiria hilo, hembu sasa fikiria... You got all qualities any woman  would love to be! Keep it up Dr.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...