08 June, 2012

DIAMOND NAE FREEMANSON LIVE!


Wadau wa burudani Tanzania wame hoji juu ya picha ya Diamond Plantnum aliyopiga kwa kumhusisha na Freemasons member!
Sweetbert Rwabukambara alisema: Diamond Freema-PANASONIC tu! Huyu aliyenaye ni mmoja wa Kiongozi mkubwa wa Sonymafree.
Nenda kwenye blog ya Frederick Bundala mtuona ukweli wa Freemadaughter
KUSOMA HAMJUI HATA PICHA HAMUONI @ waviv wa kufikir
 
Mohamed Mikidadi nae akachangia kwa kudai kwamba Diamond ni massonic live... izo vitu hazina siri... iyo picha kaweka ishara ya ya pyramid, ambao wanaelewa wamesoma hiyo ni symbol muhimu katika secreat society aka massonic. mhu mbona kaziii au ndio demokras kila mtu anauhuru wa kuongea analolifikiria,mtu awe au asiwe inahusu nini inakusaidia nini inakupunguzia nini,muda wakumjadili mtu ni bora kufikiria nini ufanye ili undelee zaidi kimaisha yako ya kila siku ,sio saa zote majungu tu.
Unatakiwa ujue hz ni fact za life na msanii ana insparation kubwa katika jamii,unajua ni wa2 wangap wameshawishika baada ya kumuona yy?@kasiba
"Kwani kaka mbona hata hiyo picha inajieleza but mi nafikiri awe masonic au acwe masonic hiyo ni life yake binafsi"

Halson Mwahalende amesisitiza kwa kusema "...ni kipindi chao, akili ya mjinga ni kama upepo, huvuma kokote kadiri usongavyo!, akili zao zimewekewa utandu, shtuka naupime mizan kwa kina,nam nasema huo ni ufinyu wa mawazo kwan "mpumbavu hukubali kila analo ambiwa, bali mwelevu.........., mo details soma BIBLIA KITABU CHA MITHALI, yakiw mneno 2 mtaona mme2kanwa,hv ndio "VITA VYA NFSI" ww kuw mjanja yaan mwelev wa nafsi."TAJIRI LA NAFSI" n hayo 2!
 
Jamani kizazi hiki kanaelekea wapi? Mimi (jojothefighter) ninasema ukweli wa yeye kuwa au kutokua freemanson member  anaujua yeye (Diamond) na Mungu wake
hivyo kama ni kweli hukumu yake ipo juu yake. Kwani mali na vyote vilivyomo hatutazikwa navyo bali tutarudi mavumbini kama tulivyozaliwa.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...