DJ fetty ndani ya BBA weekend hii...!
Fatma Hassan amepewa heshima ya kuwa DJ wa kwanza wa kike kutoka East Africa (EA) kutumbuiza kwenye BBA.
'' j mosi na J2 hii nitakuwa nikispin ndani ta jumba la BBA, nitumie kwa kuandika playlist itakayo wapagawisha...''
No comments:
Post a Comment