- Nafasi za kazi 105 kwa ajili yako Mtanzania… changamka sasa
- Ni kwa wale waliohitimu kuanzia kidato cha IV, VI na elimu ya juu!
Tangazo la nafasi za kazi limetolewa na Jamhuri
ya muungano wa Tanzaniaofisi
ya Rais Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa
umma; Pia tangazo hili linapatikana kwenye tovuti zifuatazo:
www.ajira.go.tz, www.utumishi.go.tz na www.pmoralg.go.tz
Sifa
za Waombaji
Wawe
Watanzania
Wasiwe
wamezidi umri wa miaka 45
Maombi
yote yapitia anuani ifuatayo:
Sekretarieti,
Ajira
katika utumishi wa umma
S.L.P
63100
Dar
es Salaam
Au:
Secretary,
Public
Service Recruitment
P.O.
Box 63100
Dar
es Salaam
No comments:
Post a Comment